Iran: Aliyeishi miaka 54 bila kuoga afariki dunia

Iran: Aliyeishi miaka 54 bila kuoga afariki dunia

Mada za wavaa pempas [emoji304][emoji2524]‍[emoji304] hazina kichwa wala miguu
 
Dini ya mchongo watu Iran wameichoka wanataka kuifuta.
 
Shukrani sana kwa kunifuatilia hii nyingine huku Waislamu wa Sunni wamimina risasi na kuua 15, Iran
Mimi sikufuatilii ,nyuzi nilisoma lazima nichangia kwa vile nishakujua wewe ni mtu aina gani na habari zako nikipita international forum nikiona heading ya nyuzi yako sifungui bali naishia kucheka nyisi zinavyokosa wachangiaji .Hapo najiiuliza ina maana hata wenzako wameshakujua wewe ni kubwa jinga na kutekeleza ?
 
Mwanaume wa Iran ambaye ameishi zaidi ya miaka 50 bila kuoga, hatimaye ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94, ila huko huko Iran, mwanamke aliuawa kisa kipande cha nywele kilijichomoza kwenye ushungi....

An Iranian man nicknamed the "dirtiest man in the world" for not taking a shower for decades has died at the age of 94, state media reported on Tuesday.

Amou Haji, who did not wash for more than half a century and was single, died on Sunday in the village of Dejgah in the southern province of Fars, IRNA news agency reported.

Haji had avoided showering over fears of "getting sick", the agency quoted a local official as saying.
But "for the first time a few months ago, villagers had taken him to a bathroom to wash," IRNA reported. ;

A short documentary film titled "The Strange Life of Amou Haji" was made about his life in 2013, according to Iranian media outlets.

MSN
Dini karibu zote zinamkandamiza mwanamke, nafikiri sababu unaijua..
 
Mimi sikufuatilii ,nyuzi nilisoma lazima nichangia kwa vile nishakujua wewe ni mtu aina gani na habari zako nikipita international forum nikiona heading ya nyuzi yako sifungui bali naishia kucheka nyisi zinavyokosa wachangiaji .Hapo najiiuliza ina maana hata wenzako wameshakujua wewe ni kubwa jinga na kutekeleza ?

Safi sana endelea kuchangia nyuzi zangu, kuna hiyo nyingine nakusubiri ukachangie pia, wadau wameshaanza kuchangi, tia neno nawe pia shukrani Waislamu wa Sunni wamimina risasi na kuua 15, Iran
 
Dini karibu zote zinamkandamiza mwanamke, nafikiri sababu unaijua..

Sawa ila kwa uislamu mwanamke huonwa kama takataka kabisa, ukizingatia mtume mwenyewe wanayemuabudu aliwahi kugegeda katoto kadogo ka umri wa miaka 9, na ipo kabisa kwenye kurani, sio kwamba anasingiziwa.
 
Wale jamaa wa kiwanda cha mafuta nao wameingia kwenye huo mgomo nao walihusika kwenye Revolution ya 1979 naona hali huko sio nzuri watu wsnauawa tuu kila kukicha na waajemi ni wabishi balaa...nadhani ni wabishi kuliko watu wotd Duniani wanapigwa risasi ila maandamano yanaendelea na washawakama baadhi ya watu na kuwahukumu kunyongwa wengine Jela...
 
Kadiri serikali inavyozidi kuwaua ndivyo inaamsha mzuka zaidi, maana wanaouawa wana ndugu zao.
 
habari za kuungaunga tu za kutaka tu kutarnish image..btw naskiaga waajemi wamewashika pabaya watu fulani huko. yani ni tafrani kwa drones tu..sasa muajemi akifungua full package watu si wata-poo tikitimaji?
Huyu kamaanisha tukio la kuuliwa yule msichana upi mchango wako maalim?
 
Back
Top Bottom