Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

Mimi nachojua hakuna idadi ya kutosha ya bikira kuwahudumia hizo nchi zote za kigaidi. NI UZUSHI WA KIPUMBAVU SANA
 
Wawatetee wapalestina kisa tu dini yao moja!! Waarabu wengi hawawataki wanakumbuka Black September miaka ya 1970s wapalestina walipoleta vita kwa mwenyeji wao Jordan, Hamas wameichokoza Israel wanawaacha wapewe adhabu ya walichopanda.
 
Kurusha makombora nchi ya mwingine unafananisha na mambo ya biashara ya ndege ambayo yamekuwa resolved ndani ya mifa mfupi?
tena yanasoviwa na tu pimbi mtoto kama januari uyu jamaa anafananisha makombora na ndege
 
Mapadri na mabikira 72 wapi na wapi mkuu
Mapadri wamekatazwa kuoa ndio maana wanapiga mimba wale kina sister hatari.
Utaskia "we magdalena njoo huku nikutoe pepo"
Mara Ghafla magdalena anapotea; haji tena kanisani.
Kumba Ameshiba maji ya uzima.
 
Wawatetee wapalestina kisa tu dini yao moja!! Waarabu wengi hawawataki wanakumbuka Black September miaka ya 1970s wapalestina walipoleta vita kwa mwenyeji wao Jordan, Hamas wameichokoza Israel wanawaacha wapewe adhabu ya walichopanda.
Bwana Yesu anasema ktk

LUKA 19:27

Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa MWACHINJE mbele yangu.

Na Akahimiza ktk MATHAYO 10:34 Kuwa " Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali UPANGA. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.
Na akatoa AMRI kwa wafuasi wake wote kwenye
LUKA 22:36 Na KAHIMIZA WAFUASI WAKE KWENYE LUKA 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na UPANGA, na auze joho lake akanunue.

Kwahio KUUA KWA UPANGA NA KUCHINJANA tumefunzwa na BIBLIA .
 
Waneambiwa kuwa mabikira wako wengi na wanahitaji wanaume waliokufa mashahidi hivyo iran iko sawa kuzipiga nchi za kiislamu wenzake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…