Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

Iran anachokifanya kwa nchi za Iraq na Pakistan, ni unafiki kusema kuna umoja wa nchi za Kiislamu

Sijakuelewa unachosema, Waarabu mbona Tanzania ni wengi sana tu, hauna shemeji au mjomba wa Kiarabu Tanzania hii? Basi hata unga wa chapati wa kampuni ya Waarabu hununuwi?
Simu unayotumia kuchati ni ya mzungu unayemwita kafiri
 
Israel ni mwanachama OIC msikilizaji. Israel imejiunga na OIC kutokana na kuwa na idadi kubwa ya waislam kuliko wakristo. Israel haikuona mbali?
wewe na Israel mna maslai sw ? Israel yupo hapo kiusalama zaid
 
Kwani hayo mabomu mnayo basi. Hizo missiles za kurushaina zinazoenda kilomita mnazo basi.
Ndizo politics za mashariki ya kati, msipoelewana mnadundana.
Nyie zenu mnawekeana vikwazo vya kibiashara. Lakini all in all ni kutokuelewana.
unaforce mamb wewe , kwan ww raia wa masharik ya kati?
 
Twende taratibi tuchambuwe hoja yako.

Naoona umechanganya mambo mengi sana kwa pamoja, tatizo lako ni Iran? au OIC au Tanzania au Iraq au Palestina?

Haya nasubiri jibu lako tuone kwa kina ulichotaka kukisema ni nini haswa.
bibi unataka kuwa mchambuz ? tatizo ni kwann waislam wanapigana
 
Bila Algorithm usingeipata hiyo simu. Unamfahamu Algorithm ni nani?
Ki ukweli simjui ila namjua huyu hapa

pervyj2.jpg

Simu ya kwanza ya rununu duniani na mvumbuzi wake Leonid Ivanovich Kupriyanovich

Inachukuliwa kuwa rasmi simu ya kwanza duniani ilitengenezwa USA. Hadithi inasema kwamba mnamo Aprili 3, 1973, mkurugenzi wa idara ya mawasiliano ya simu ya Motorola, Martin Cooper, alipokuwa akizunguka Manhattan, aliita simu yake ya rununu, ambayo ilidaiwa kushangazwa sana na wapita njia ambao waliona hii.
Simu ya rununu ilitolewa kwa mara ya kwanza kuuzwa na Travel Electronics mnamo 1979. Ilikuwa na uzito wa gramu 907 na ikagharimu dola 3895, ambayo ililingana na bei ya gari la wastani. Kwa hivyo, simu ya kwanza ya rununu iligharimu zaidi ya ile ya wakati huo Toyota Corola, iliyouzwa Amerika kwa $3,698. Ada ya usajili ilikuwa$ 50 kwa mwezi, na dakika moja ya mazungumzo iligharimu watumiaji kutoka senti 24 hadi 40, ambayo ni sawa na gharama ya galoni nzima ya petroli (lita 3.78541178)
 
bibi unataka kuwa mchambuz ? tatizo ni kwann waislam wanapigana
Siyo nataka kuwa, ni mchambuzi kweli kweli.

Tupe mfano hai mmoja ili tukuchambulie nawe ufahamu kinachoendelea.
 
Ki ukweli simjui ila namjua huyu hapa

pervyj2.jpg

Simu ya kwanza ya rununu duniani na mvumbuzi wake Leonid Ivanovich Kupriyanovich

Inachukuliwa kuwa rasmi simu ya kwanza duniani ilitengenezwa USA. Hadithi inasema kwamba mnamo Aprili 3, 1973, mkurugenzi wa idara ya mawasiliano ya simu ya Motorola, Martin Cooper, alipokuwa akizunguka Manhattan, aliita simu yake ya rununu, ambayo ilidaiwa kushangazwa sana na wapita njia ambao waliona hii.
Simu ya rununu ilitolewa kwa mara ya kwanza kuuzwa na Travel Electronics mnamo 1979. Ilikuwa na uzito wa gramu 907 na ikagharimu dola 3895, ambayo ililingana na bei ya gari la wastani. Kwa hivyo, simu ya kwanza ya rununu iligharimu zaidi ya ile ya wakati huo Toyota Corola, iliyouzwa Amerika kwa $3,698. Ada ya usajili ilikuwa$ 50 kwa mwezi, na dakika moja ya mazungumzo iligharimu watumiaji kutoka senti 24 hadi 40, ambayo ni sawa na gharama ya galoni nzima ya petroli (lita 3.78541178)
Huyu hapa:

View: https://youtu.be/oyhOlGsDXP8?si=MNmdvVshtRru4F-O
 
Kuna nchi zinatoka mbali sana zinakwenda kuuwa wengine kwa manowari za kivita, kwa madege ya kivita, kwa silaha nzito nzito, hatuwasikii mkizilaumu, hamzioni?
Hizo tunazilaumu pia, lakini muktadha wa uzi ni Iran ambayo ni nchi rafiki na Pakistan inashtukiza kupiga mabomu ndani ya ardhi ya Pakistan?
 
Sijakuelewa unachosema, Waarabu mbona Tanzania ni wengi sana tu, hauna shemeji au mjomba wa Kiarabu Tanzania hii? Basi hata unga wa chapati wa kampuni ya Waarabu hununuwi?
Wewe huna hoja umerudi kulekule kwenye akili zako za kawaida. Kanga haachi manyoya yake.
 
Siasa za mashariki ya kati ni complicated. Mbona hukuuliza Saudia kuishambulia Yemen? Au ugomvi wa Iran na Saudia?
Kuna tofauti gani alichofanya Iran kushambulua maeneo ya anaodai walisababisha mashambulizi nchini mwake na kile alichofanya US kuishambulia Afghanistan kwa madai kuwa Osama kafichwa huko?
Saudia na Houthis ni tofauti, Houthi hao ni waasi waliopindua serikali ya Yemen na Yemen kuomba msaada kutoka kwa Saudia dhidi ya Houthis, ni tofauti na Iran vs Pakistan ambapo hakukuwa na makubaliano kati yao

Ni kama Marekani aende kushambulia makundi anayoita ya kigaidi ndani nchi ya Uingereza bila idhini ya Uingereza

Mfano wa US na Afghanistan sio relevant sababu US na Afghanistan hawakuwa nchi rafiki
 
Alipoenda kumshambulua na kumuua Osama aliomba idhini kwa Pakstan kwani?
 
Ujinga tupu kama nchi yako ikajiunga na kuwa miongoni mwa nchi za Kiislam!

Aliyeikataa OIC nchini petu Tanzania, apewe mauwa yake.

Kinachofanyika na kufanywa na nchi ya Kiislamu IRAN kwa nchi za kiisilamu nyenzake, ni uhuni na ulimbukeni kuendelea kuamini kwamba hili nalo ni taifa linalounga mkono umoja huo wa Kiislamu na kwamba ukijiunga kwenye umoja huo unaweza kupata msaada wowote panapotokea mgogoro wa kivita na nchi nyingine.

Badala ya kuwa na umoja ili kuwalinda na kuwatetea Wapalestine, wao kwa wao tena wanainukiana kufyatuliana makombora! [emoji23] utadhani siyo waislamu kwa waislamu.

Aliyetaka kutuaminisha kuwa OIC ni suluhisho la ulinzi na kupewa nguvu zote za kiulinzi kutoka nchi washirika wa Kiislamu, alaaniwe mara elfu moja.

Palestine leo inaangamizwa huku nchi hizo za Kiislamu zikichekelea na kutwangana zenyewe kwa zenyewe.

Umoja wa Kiislamu unafaida zipi sasa?
Punguza jazba, siasa ni mambo makubwa ambayo mtu wa mtaani kuyafahamu ni haiwezekani.
Mbona nchi AU zina mizozo kila siku? Haina maana mkiwa kwenye umoja ndio hakuna tofauti ya maoni au hata vita kutokea.
Iran na Iraq na Pakistan wanaelewana vizuri sana hayo mashambulizi yote yaliotokea wameridhiana na na hizo taarifa na malalamishi wanayotoa hadharani ni kupoza wananchi na wapinzani wa siasa kali. (for public consumption)
Kurdistan iraq ametandikwa mzayuni mossad na vibaraka wake.
Syria na Pakistan ni hao ISIS vibaraka na watumwa wa marekani na wazayuni.
 
Kama ndivyo..! Kwa nini Pakistan naye kalipiza kisasi kwa kushambulia na kuuwa kamanda wa Irani?
 
Back
Top Bottom