antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hahaha..Usilolijua hata CIA base zipo ndani ya MOSCOW na FSB zipo ndani ya DC na mataifa mengine duniani
Vijana mmekuaje hamjui hata mambo madogo kama hayo yanaendaje
Tizama habari wewe.Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya MossadππππAiseee
Hawajui hata Balozi kwny nchi Fulani ni sehemu ya ujasusi....Usilolijua hata CIA base zipo ndani ya MOSCOW na FSB zipo ndani ya DC na mataifa mengine duniani
Vijana mmekuaje hamjui hata mambo madogo kama hayo yanaendaje
makao makuu a Mossad yawekwe kweny bufferzone , hv una akili ww? tuwache wazayun wewe ungeweka makao makuu ya ujasusi kwenye bufferzone?
IRGC ilitangaza shambulizi la kombora la balestiki na kuharibu makao makuu ya kijasusi ya MOSSAD katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.Hayo siyo makao makuu.
Makao makuu yapo Tel Aviv bhana.
Hiyo inasemekana ni moja wapo ya post ya mossad intelligence agency.
Makao makuu huwezi weka nje ilhali nchi unayo.
Hivi Kurdistan ni semi autonomous au autonomous kabisa. Na je masuala ya ulinzi ni jukumu la Kurdistan au ya Iraq. Najua juhudi zao za kujitenga ila sijui kama wameishakuwa huru, wanatambulika kimataifa na Iraq inawatambua kama huru.Hujui kama kurdistan ni kama somali land?
Hawajatambulika rasmi kama Somaliland ilivyokua bado haijatambulika rasmi ilipojitenga na Somalia kuu.Hivi Kurdistan ni semi autonomous au autonomous kabisa. Na je masuala ya ulinzi ni jukumu la Kurdistan au ya Iraq. Najua juhudi zao za kujitenga ila sijui kama wameishakuwa huru, wanatambulika kimataifa na Iraq inawatambua kama huru.
Hapo Uturuki nilidhani walikuwa ni Wakurdi wale wa Kaskazini mwa Syria ambao Uturuki huwa inashambulia, wale ndugu zao kina PKK.Kurdistan ni jimbo linalo jitawala ndani ya Iraq na lina ushirika na Israel hilo linajulikana na wala sio jambo la kificho.
Kuna kipindi Uturuki ilisha itaka Israel iache kushirikiana nao Netanyau akaijibu kuwa Uturuki ikiacha kuiunga mkono Hamas basi na Israel itaacha ushirika na wakrudi.
Alafu ni sehemu imetulia sana tofauti na Iraq. Sometimes kuwa na jamii aina moja kunasaidia utulivu hasahasa kwenye mjumuiko wa jamii zenye chuki na ubaguzi.Hawajatambulika rasmi kama Somaliland ilivyokua bado haijatambulika rasmi ilipojitenga na Somalia kuu.
Ila wana mambo mengi wanajiendeshea wenyewe ikiwemo jukumu la ulinzi.
Hujakosea bro ila wakurdi hawafai wakaachwa wastawi.Alafu ni sehemu imetulia sana tofauti na Iraq. Sometimes kuwa na jamii aina moja kunasaidia utulivu hasahasa kwenye mjumuiko wa jamii zenye chuki na ubaguzi.
Kurdistan wana jeshi lao kabisa na kuna kipindi viongozi wa jimbo hilo walijaribu kuitisha kura ya maoni ili wajitenge lakini Iran, Uturuki na serikali kuu ya Iraq wakatishia kulivamia jimbo hilo iwapo wangethubutu kufanya hivyo wakarazimika kuufyata.Hivi Kurdistan ni semi autonomous au autonomous kabisa. Na je masuala ya ulinzi ni jukumu la Kurdistan au ya Iraq. Najua juhudi zao za kujitenga ila sijui kama wameishakuwa huru, wanatambulika kimataifa na Iraq inawatambua kama huru.
Wamuue mfanyabiashara wa Iraq kwa makombora ili iweje!?..ana nini!?..wamarekani sita waliouawa pamoja walikua wafanyabiashara wenzie au wafanyakazi!?..unganisha nuktaWaajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya MossadππππAiseee
Ni wewe tu na wajinga wenzako ndiyo mnadhani hizo Vita ni za kidiniHivi huyu Iran kwa nini hasaidii kumaliza mgogoro wa Sudan? Kwa nn yeye anahangaika na Houthi tu wakati Sudan nao ni salama aleku?
Ajitahidi afanye haraka atoke na nje atusaidie kufanya usafi na huku Africa tumechoka na mambo ya alshabab na Boko haram. Tunataka tuishi kama jamii zilizostarabika kama nchi za Magharibi na America. ππππUkitaka kusafisha nyumba anzia chumbani . Iran anaanza na kambi za wamarekani zilizopo karibu yake anasogea taratibu mpaka atafika sebuleni na hatimae nje .
Huku Afrika anakuja kufagia hizo jamii za kimagharibi zilizostaraabika ndio zinatuletea machafuko.Ajitahidi afanye haraka atoke na nje atusaidie kufanya usafi na huku Africa tumechoka na mambo ya alshabab na Boko haram. Tunataka tuishi kama jamii zilizostarabika kama nchi za Magharibi na America. ππππ
Kwa hiyo ataungana na alshabab na Boko Haram?Huku Afrika anakuja kufagia hizo jamii za kimagharibi zilizostaraabika ndio zinatuletea machafuko.
Kama boko haram na alshabab wanapigana na wamarekani ataungana nao.Kwa hiyo ataungana na alshabab na Boko Haram?
Huwa wanaanza hivijivi halafu ukika kustuka tayari wameshaiingiza kwenye vitabu.Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya MossadππππAiseee
Suala la kuwa muislam na kushirikiana na Israel kunahusiana nn?Si wakurd waislam