Iran attacked Mossad base in Erbil

Iran attacked Mossad base in Erbil

Usilolijua hata CIA base zipo ndani ya MOSCOW na FSB zipo ndani ya DC na mataifa mengine duniani

Vijana mmekuaje hamjui hata mambo madogo kama hayo yanaendaje
Hahaha..
Dogo, punguza mbwembwe bhasi
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Tizama habari wewe.
Aljazeera mpk France24 habari inaeleza IRGC kashambulia Iraq na Syria katika kambi zinazosemekana kuwa za Mossad na ISIS .
Tizama habari
 
Hayo siyo makao makuu.
Makao makuu yapo Tel Aviv bhana.
Hiyo inasemekana ni moja wapo ya post ya mossad intelligence agency.
Makao makuu huwezi weka nje ilhali nchi unayo.
makao makuu a Mossad yawekwe kweny bufferzone , hv una akili ww? tuwache wazayun wewe ungeweka makao makuu ya ujasusi kwenye bufferzone?
 
Hayo siyo makao makuu.
Makao makuu yapo Tel Aviv bhana.
Hiyo inasemekana ni moja wapo ya post ya mossad intelligence agency.
Makao makuu huwezi weka nje ilhali nchi unayo.
IRGC ilitangaza shambulizi la kombora la balestiki na kuharibu makao makuu ya kijasusi ya MOSSAD katika eneo la Kurdistan nchini Iraq.
 
Hujui kama kurdistan ni kama somali land?
Hivi Kurdistan ni semi autonomous au autonomous kabisa. Na je masuala ya ulinzi ni jukumu la Kurdistan au ya Iraq. Najua juhudi zao za kujitenga ila sijui kama wameishakuwa huru, wanatambulika kimataifa na Iraq inawatambua kama huru.
 
Hawajatambulika rasmi kama Somaliland ilivyokua bado haijatambulika rasmi ilipojitenga na Somalia kuu.
Ila wana mambo mengi wanajiendeshea wenyewe ikiwemo jukumu la ulinzi.
 
Kurdistan ni jimbo linalo jitawala ndani ya Iraq na lina ushirika na Israel hilo linajulikana na wala sio jambo la kificho.

Kuna kipindi Uturuki ilisha itaka Israel iache kushirikiana nao Netanyau akaijibu kuwa Uturuki ikiacha kuiunga mkono Hamas basi na Israel itaacha ushirika na wakrudi.
Hapo Uturuki nilidhani walikuwa ni Wakurdi wale wa Kaskazini mwa Syria ambao Uturuki huwa inashambulia, wale ndugu zao kina PKK.
Hawa wa Iraq ndio wa Peshmerga ambao iipoingia ISIS wanajeshi wa Iraq wakatimua mbio bila mapigano alafu Peshmerga ikapigana yenyewe. Kisha ISIS iliposhindwa nguvu, majeshi manafiki ya Iraq yakajileta tena eneo hilo.

Hizo nchi zote hakuna inayotamani jimbo la Kurdistan liwe huru. Sababu litasaidia hizo regions nyinginezo za Wakurdi. Hiyo ni sehemu ndogo ambayo Iran na Uturuki zinakubaliana.
 
Hawajatambulika rasmi kama Somaliland ilivyokua bado haijatambulika rasmi ilipojitenga na Somalia kuu.
Ila wana mambo mengi wanajiendeshea wenyewe ikiwemo jukumu la ulinzi.
Alafu ni sehemu imetulia sana tofauti na Iraq. Sometimes kuwa na jamii aina moja kunasaidia utulivu hasahasa kwenye mjumuiko wa jamii zenye chuki na ubaguzi.
 
Alafu ni sehemu imetulia sana tofauti na Iraq. Sometimes kuwa na jamii aina moja kunasaidia utulivu hasahasa kwenye mjumuiko wa jamii zenye chuki na ubaguzi.
Hujakosea bro ila wakurdi hawafai wakaachwa wastawi.
 
Hivi Kurdistan ni semi autonomous au autonomous kabisa. Na je masuala ya ulinzi ni jukumu la Kurdistan au ya Iraq. Najua juhudi zao za kujitenga ila sijui kama wameishakuwa huru, wanatambulika kimataifa na Iraq inawatambua kama huru.
Kurdistan wana jeshi lao kabisa na kuna kipindi viongozi wa jimbo hilo walijaribu kuitisha kura ya maoni ili wajitenge lakini Iran, Uturuki na serikali kuu ya Iraq wakatishia kulivamia jimbo hilo iwapo wangethubutu kufanya hivyo wakarazimika kuufyata.

Ila mpango wa kulivamia jimbo hilo upo na ipo siku utatekelezwa maana serikali kuu ya Iraq imekuwa ikipata shinikizo kutoka Iran kuuvunja utawala huo wa Kurdistan maana eneo hilo ndo linalo tumiwa na Israel kurahisisha shughuli zake za kijasusi ndani ya ardhi ya Iran.
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Wamuue mfanyabiashara wa Iraq kwa makombora ili iweje!?..ana nini!?..wamarekani sita waliouawa pamoja walikua wafanyabiashara wenzie au wafanyakazi!?..unganisha nukta
 
Ukitaka kusafisha nyumba anzia chumbani . Iran anaanza na kambi za wamarekani zilizopo karibu yake anasogea taratibu mpaka atafika sebuleni na hatimae nje .
Ajitahidi afanye haraka atoke na nje atusaidie kufanya usafi na huku Africa tumechoka na mambo ya alshabab na Boko haram. Tunataka tuishi kama jamii zilizostarabika kama nchi za Magharibi na America. 😄😄😄😄
 
Huku Afrika anakuja kufagia hizo jamii za kimagharibi zilizostaraabika ndio zinatuletea machafuko.
 
Waajemi wa JF kwa kupindisha habari hamjambo. Iran imefanya shambulizi Iraq na kumuua mfanyabiashara raia wa Iraq na familia yake hyo ishakua kambi ya Mossad😂😂😂😂Aiseee
Huwa wanaanza hivijivi halafu ukika kustuka tayari wameshaiingiza kwenye vitabu.
 
Acha Iran awatwange tu sababu hakuna namna. Piga hizo fisi na vibaraka wao mpaka akili iruke.
 
Back
Top Bottom