Iran attacked Mossad base in Erbil

Noona unaweweseka, mzayuni hana muda uchawa wako wa kigalatia,
unataka kujua mossad wangapi wamekufa? since when mossad publish their causalities ? not even IDF
Unataka watu waamini ni IDF 150 tu ndio wamekufa ?
Right now google utafute hata kifaru kimoja cha idf kimeharibiriwa au hata google kichapo ukraine anachopata kutoka russia kama utaona kitu,,,media censorship own by jews bastards
JWTZ ilivyokula kichapo Mozambique, uliona mapichapicha yeyeto kwenye magazeti ya bongo?
 
Waliotoa taarifa za maafa ni wahusika Iraq (bila Shaka walifika eneo LA tukio) ambao walirushiwa makombora, halafu ww mkaanga mihogo wa Namtumbo unataka kuwabishia.

Halafu mbona mnapenda kuingiza issue za udini kwa kila mtu anayewapinga?! Hakuna mahali nilipokuquote nimechomeka issue za dini.

Mzee zama hizi za teknolojia unadhani kuficha kitu?! Kwanini Hao Hamas wasipost hizo video za vifaru kwenye mitandao mingine kama Wechat?! Mbona video za watoto wachanga kufukiwa kwenye vifusi wanazituma vizuri tena zikiwa na ubora wa HD, kwanini wasilete hizo za vifaru tuzione kama kweli?! Eti censorship, watume kwenye mitandao ya wachina sio lazima ya magharibi.

Taarifa za JWTZ kula kichapo zilichapishwa kwenye media za bongo ikiwemo humu JF.

#IRGC official Hossein Ali Javidan Far has been shot dead by unidentified gunmen on Khash-Zahedan road in #Iran's ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Sistan Baluchestan province.

View: https://twitter.com/bahot_baluch/status/1747652319041261826?t=-gD8BRb4q-91LEo25WnvGg&s=19
 
Ila surale fupi dunia nzima wameungana dhidi ya mazayuni na bado wamemshindwa, kweli shule ni muhimu!.
Kwahiyo wewe mbuzi umesoma kunipita mimi, tuanze hii ligi?
Kielimu cha nacte kinakufanya ujione umesoma
 
Waliotoa taarifa za maafa ni wahusika Iraq (bila Shaka walifika eneo LA tukio) ambao walirushiwa makombora, halafu ww mkaanga mihogo wa Namtumbo unataka kuwabishia.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sawasawa, lakini mihogo yangu naichomea Manchester, na wakati wewe mzayuni wa bonyokwe unakula vumbi tu

Hizi hapa, tafuta sabau nyingine, kwanini hazionyenshwi na mainsteam media BBC, CNN, DW?

View: https://www.youtube.com/watch?v=ClLHBWOL5dQ
Taarifa za JWTZ kula kichapo zilichapishwa kwenye media za bongo ikiwemo humu JF.
Leta gazeti au TV ya bongo ilionyesha hii taarifa, JF haihusiki, ni sisi wachangiaji ndio tunatoa taarifa JF
 
Kila siku unatukana West wakati unatembeza kobazi na Dera kwenye ardhi ya watu waliostaarabika. Huna tofauti na waarabu na wengineo kila siku wanaitukana Marekani lakini wao ndo wanaoongoza kuomba visa kuingia US.

Endelea kuvisha vikongwe diaper hapo Manchester.

JF ni media ya China eeeh?! Kwanini isihusike?!
 
Umeloaaa
kula vumbi mzayuni mwenye asili ya nyani aliyechangamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ