Iran contribution to world technology development

Iran contribution to world technology development

Wana kitu gani kipya hakijawahi tengenezwa popote? Tujuavyo Iran ananunua tu tech popote.. ananunua wadukuzi kuiba tech sasa huo ndio mchango wa tech duniani? Au wizi?

Mtambo wa rocket fuel umeteketezwa keshaagiza China na China nae ni mwizi mwenzie..

Katika dunia hii wagunduzi wapo wachache sana kwani akili ya ziada inahitajika.. tunaweza sema there is Aliens among us
 
Is there any positive correlation between ones faith and scientific innovation?

Jibu hilo swali in connection to Iran's the so called blah blah revolution and prove other societies wrong.
Inategemea unazungumzia sayansi gani ila ipo. Chukulia mfano huo Huo wa juu.

Kwanini Iran imefanikiwa sayansi yake kutumika vijijini na Usa hajafanikiwa? Hapo ni utofauti baina ya Capitalism na uisilamu.

Kwenye Capitalism watu wana angalia profit, mtu ata uliza kitu gani kinalipa, sehemu gani nzuri kufanyia kazi etc hence wataalam wote wanakuwa mjini, gharama za Afya zinapanda etc mwenye ni shahidi wa hili si Usa tu bali hata huku kwetu haya matatizo yapo, Usa kuna kitu kinaitwa Medical Tourism kwa mwaka hadi Wamarekani milioni 1 wanaenda kutibiwa Mexico sababu hawawezi ku afford gharama za Matibabu Usa.

At same time why Iran wamefanikiwa, role ya dini, kwamba monetary compensation sio malipo pekee kuna malipo ya Mungu pia. Watu wanatakiwa kusaidiana na kutoa sadaka. Wewe pia ni shahidi wa hili hapa Tanzania kuna madaktari wengi mno toka India, Pakistan, Iran wanaokuja kutoa sadaka, operation za macho, moyo etc unakuta watu wanafanyiwa bure.

Huo ni mfano mmoja tu kuna mambo mengi mengine kama Uisilamu kutomix wanawake Na wanaume sasa hivi All over middle East wanawake wana Run masomo ya sayansi kuna scientist wengi mno wanawake compare na sehemu yoyote Duniani.
 
What the Muslim calls "Islamic Golden Age" was in fact a "Persian Golden Age" because almost all important innovations and discoveries in the said period were made by Persians/Iranians.
Si Kweli Invention zilifanyika sana Persia, Baghdad na Sham (Syria) na ndio ilikua miji mikubwa wakati huo, na pia nje ya Middle East kuna Scholar Wakubwa wengi wa kiisilamu Asia ya kati Kazakhstan, Uzbekistan, Afghanistan etc. Pia baadae Spain.
 
Hauko sawa ktk kufikiri!!
Mionzi inaleta balaa umesahau matumizi yake kwenye tiba ya saratani, upasuaji, vipimo vya hospitali, kuhakiki ubora wa bidhaa kama mabomba, carbon dating, kwenye construction, n.k.
Wewe umeongea kama mtu wa masomo ya sanaa pekee au mwenye elimu chini ya kidato cha nne.
Sasa mionzi iligunduliwa na Iran? Marria curle na mumewe walitoka Irani? Mionzi ya tiba kwa maana ya x ray na siyo hazard particles
 
  • Thanks
Reactions: K11
Si kila laser ipo sawa. ALI Javan ndio mgunduzi Wa "Gas laser"

Alikuwa peke yake? Huoni kama alikuwa na Marekani katika ugunduzi huo? Isistoshe kusema ugunduzi huu umefanywa na Marekani mzaliwa wa Iran kwa kushirikiana na wamarekani. Tena umetokea kabla ya Ayatollah hajaleta fujo za kidini Irani.
 
Naona umeanza kustarabika sasa Asante sana ubalikiwe mtumish

Usipende kutukana matusi bila sababu ndugu yangu, sisi sote ni ndugu tupendane
Chuki dhidi ya waisilam imekujaa mpaka matakoni alafu unataka upendo wao?
 
ma
Uajemi ya kikafir ilikuwa na akili mingi mno. Wangekuwa supa pawa hawa watu ila ndio hivyo tena.
Kama ukafri ndo akili mbona Africa na America ya kusini ambako ni nyumbani kwa %70 ya makafiri ndo mabara yanayo nuka umasikini?
 
Kama ukafri ndo akili mbona Africa na America ya kusini ambako ni nyumbani kwa %70 ya makafiri ndo mabara yanayo nuka umasikini?
Mleta mada anatuhabarisha;
"Iran has a rich history of scientific and technological achievements, dating back to ancient times when scholars like Al-Khwarizmi and Avicenna laid the foundation for modern mathematics and medicine. From the development of algebra to advancements in astronomy and healthcare, Iran's contributions have shaped global knowledge for centuries.";

Ancient times; inamaanisha nini?
 
Sasa umekataa nini? Persia ndiyo Iran yenyewe. Nitajie mvumbuvi mmoja wa Iraq au Syria ambaye ethinically hakuwa Muiran tena Shia
Sijakataa bali nimeongezea na maeneo mengine, walikuwepo wengi Syria na Iraq na kwengineko pia.

Wapo wengi mno Bosi kuanza kutaja mmoja mmoja ita chukua mda waangalie hapa

Baadhi mfano maarufu maarufu ni Al Kindi (amezaliwa kufa Iraq), Yazid (Syria), Jabir ibn hayan (Kufa Iraq) etc.

Hadi nchi za ki Africa wapo wa kutosha.

So si kweli kwamba Islamic Golden Age ilikua ni Persia tu bali ilikua ni ardhi zote za waisilamu Timbuktu Mali hapo ilifahamika kwa Physics na Mathematics, Tunisia ilijulikana, Spain, Uturuki etc.
 
Mleta mada anatuhabarisha;
"Iran has a rich history of scientific and technological achievements, dating back to ancient times when scholars like Al-Khwarizmi and Avicenna laid the foundation for modern mathematics and medicine. From the development of algebra to advancements in astronomy and healthcare, Iran's contributions have shaped global knowledge for centuries.";

Ancient times; inamaanisha nini?
Mbona umekomalia hapo!?
Mbona kwingine ambako kunazungumzia maendeleo ya sayansi Iran hadi sasa umeparuka!?
 
Sijakataa bali nimeongezea na maeneo mengine, walikuwepo wengi Syria na Iraq na kwengineko pia.

Wapo wengi mno Bosi kuanza kutaja mmoja mmoja ita chukua mda waangalie hapa

Baadhi mfano maarufu maarufu ni Al Kindi (amezaliwa kufa Iraq), Yazid (Syria), Jabir ibn hayan (Kufa Iraq) etc.

Hadi nchi za ki Africa wapo wa kutosha.

So si kweli kwamba Islamic Golden Age ilikua ni Persia tu bali ilikua ni ardhi zote za waisilamu Timbuktu Mali hapo ilifahamika kwa Physics na Mathematics, Tunisia ilijulikana, Spain, Uturuki etc.
Hivi ulielewa nilichoandika? Au umeamua tu kuanzisha ubishi?
 
Back
Top Bottom