Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Makafiri lazima yatafura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! Nilijua tu; huu uzi una mlengo fulani. Ulimi wa hila wala haukawii kujipambanua wenyewe.Makafiri lazima yatafura
Inategemea unazungumzia sayansi gani ila ipo. Chukulia mfano huo Huo wa juu.Is there any positive correlation between ones faith and scientific innovation?
Jibu hilo swali in connection to Iran's the so called blah blah revolution and prove other societies wrong.
Mkuu usiongee kauli jumuishi bana.Ha ha ha! Nilijua tu; huu uzi una mlengo fulani. Ulimi wa hila wala haukawii kujipambanua wenyewe.
Si Kweli Invention zilifanyika sana Persia, Baghdad na Sham (Syria) na ndio ilikua miji mikubwa wakati huo, na pia nje ya Middle East kuna Scholar Wakubwa wengi wa kiisilamu Asia ya kati Kazakhstan, Uzbekistan, Afghanistan etc. Pia baadae Spain.What the Muslim calls "Islamic Golden Age" was in fact a "Persian Golden Age" because almost all important innovations and discoveries in the said period were made by Persians/Iranians.
Sasa mionzi iligunduliwa na Iran? Marria curle na mumewe walitoka Irani? Mionzi ya tiba kwa maana ya x ray na siyo hazard particlesHauko sawa ktk kufikiri!!
Mionzi inaleta balaa umesahau matumizi yake kwenye tiba ya saratani, upasuaji, vipimo vya hospitali, kuhakiki ubora wa bidhaa kama mabomba, carbon dating, kwenye construction, n.k.
Wewe umeongea kama mtu wa masomo ya sanaa pekee au mwenye elimu chini ya kidato cha nne.
Achana na wavaa kobazi Watu wanaamini Jua linazama kwenye matopeSasa mionzi iligunduliwa na Iran? Marria curle na mumewe walitoka Irani? Mionzi ya tiba kwa maana ya x ray na siyo hazard particles
Si kila laser ipo sawa. ALI Javan ndio mgunduzi Wa "Gas laser"Sasa mionzi iligunduliwa na Iran? Marria curle na mumewe walitoka Irani? Mionzi ya tiba kwa maana ya x ray na siyo hazard particles
Alikuwa peke yake? Huoni kama alikuwa na Marekani katika ugunduzi huo? Isistoshe kusema ugunduzi huu umefanywa na Marekani mzaliwa wa Iran kwa kushirikiana na wamarekani. Tena umetokea kabla ya Ayatollah hajaleta fujo za kidini Irani.Si kila laser ipo sawa. ALI Javan ndio mgunduzi Wa "Gas laser"
![]()
Ali Javan - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
😂😂😂😂Aiseee noma sana na hii invention imetumika kote na hata USA wanaitumia.Si kila laser ipo sawa. ALI Javan ndio mgunduzi Wa "Gas laser"
![]()
Ali Javan - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Mgunduzi mkuu ni yeye hao wamarekani ni DEVELOPERS TU walosaidia kuendeleza ugunduzi.Alikuwa peke yake? Huoni kama alikuwa na Marekani katika ugunduzi huo?
Yeye ndio mgunduzi, na wanasayansi kutumia vyuo vikubwa vikubwa kupata access za maabara na facilities nyengine havijaanza leo wala jana.Alikuwa peke yake? Huoni kama alikuwa na Marekani katika ugunduzi huo?
Sasa umekataa nini? Persia ndiyo Iran yenyewe. Nitajie mvumbuvi mmoja wa Iraq au Syria ambaye ethinically hakuwa Muiran tena ShiaSi Kweli Invention zilifanyika sana Persia,
Chuki dhidi ya waisilam imekujaa mpaka matakoni alafu unataka upendo wao?Naona umeanza kustarabika sasa Asante sana ubalikiwe mtumish
Usipende kutukana matusi bila sababu ndugu yangu, sisi sote ni ndugu tupendane
Kama ukafri ndo akili mbona Africa na America ya kusini ambako ni nyumbani kwa %70 ya makafiri ndo mabara yanayo nuka umasikini?ma
Uajemi ya kikafir ilikuwa na akili mingi mno. Wangekuwa supa pawa hawa watu ila ndio hivyo tena.
Mleta mada anatuhabarisha;Kama ukafri ndo akili mbona Africa na America ya kusini ambako ni nyumbani kwa %70 ya makafiri ndo mabara yanayo nuka umasikini?
Sijakataa bali nimeongezea na maeneo mengine, walikuwepo wengi Syria na Iraq na kwengineko pia.Sasa umekataa nini? Persia ndiyo Iran yenyewe. Nitajie mvumbuvi mmoja wa Iraq au Syria ambaye ethinically hakuwa Muiran tena Shia
Mbona umekomalia hapo!?Mleta mada anatuhabarisha;
"Iran has a rich history of scientific and technological achievements, dating back to ancient times when scholars like Al-Khwarizmi and Avicenna laid the foundation for modern mathematics and medicine. From the development of algebra to advancements in astronomy and healthcare, Iran's contributions have shaped global knowledge for centuries.";
Ancient times; inamaanisha nini?
Hivi ulielewa nilichoandika? Au umeamua tu kuanzisha ubishi?Sijakataa bali nimeongezea na maeneo mengine, walikuwepo wengi Syria na Iraq na kwengineko pia.
Wapo wengi mno Bosi kuanza kutaja mmoja mmoja ita chukua mda waangalie hapa
List of scientists in medieval Islamic world - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Baadhi mfano maarufu maarufu ni Al Kindi (amezaliwa kufa Iraq), Yazid (Syria), Jabir ibn hayan (Kufa Iraq) etc.
Hadi nchi za ki Africa wapo wa kutosha.
So si kweli kwamba Islamic Golden Age ilikua ni Persia tu bali ilikua ni ardhi zote za waisilamu Timbuktu Mali hapo ilifahamika kwa Physics na Mathematics, Tunisia ilijulikana, Spain, Uturuki etc.