Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

Ingekuwa hizo drones na Balistic misiles zimetoka kwa Wapalestina wangesema zimeua watu wengi na watoto na zimefanya uharibifu mkubwa ili wapate sababu ya kuwapiga mabomu Wapalestina. Na mpaka dakika hii wangeshaingia Gaza na kuua watu kwa mabomu maelfu kwa maelfu...

Lakini kwa sababu zimepigwa kutoka Iran wamebadili strategy sasa wanajifanya hakuna madhara yeyote ili waonekane hawana sababu ya kupigana na Iran. Wanajitahidi sana kutumia media za west kuonyesha hakuna madhara yeyote ili wasionekane madhaifu kwa kushindwa kupigana na Iran.

Kama yeye mwanaume kweli amvamie Iran sio kubwabwaja kwenye media.. si wanajidai wana power ? mbona wameufyata sasa..wanakaribishwa vitani

Pamoja na msaada wa fedha, vifaru na mandege vita na kila kitu kutoka western countries lakini bado Israel ni dhaifu kuliko Hamas isiyo hata na kifaru kimoja
 
Wamekiri wapi bwana, hao ni wachambuzi wa maswala ya kijeshi kutoka Mkuranga na Maneromango na wala sio US na EU tunazo fahamu.
 
akili zako zipo sawa ? Umepita juu ya bunge ukaenda kulenga wapi ? , maana uhalibifu tulisikia umetokea kwenye kambi mbili za mipakani , au zilpita juu ya bunge zikarudi mpakani ?
Usinikoti kwa akili wewe mtoto wa mama
 
Vijana wa MUDI mnapenda sana kujifariji
 
Interesting
 
Mpaka sasa
Israel imepoteza binti mmoja
Iran imepoteza majemedari saba.

Wazee wa kubet hii inaitwaje.
 
Jamaa wako njiani we endelea kuota tu.
Ayatollah kashajificha kaacha msala huku wacheze nao.
 
Hawana ujanja wala uwezo wa kurudisha mapigo. Kwanza silaha za kufika Iran hawana, lakini pia uwezo wa kuingia vitani na Iran peke yao hawana pia.
Mbona hatujiulizi Nchi jirani kama Rwanda na DRC zinavyopitisha bidhaa zao Dodoma?
Kwani Anga la Israel hakuna free zone hata kama ni juu ya bunge?..mbona tunatanguliza mashaka sana
 
Kapitisha mizinga ju ya Taifa teule la Marekani na Uingereza [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…