Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

Mbona hatujiulizi Nchi jirani kama Rwanda na DRC zinavyopitisha bidhaa zao Dodoma?
Kwani Anga la Israel hakuna free zone hata kama ni juu ya bunge?..mbona tunatanguliza mashaka sana
🤣🤣 hebu kuwa siriaz mkuu Rwanda na DRC wanapitisha mchele na mafuta ya kula ufananishe na kupitisha rockets na mabomu?
 

Attachments

  • 20240418_202117.jpg
    20240418_202117.jpg
    225.9 KB · Views: 5
akili zako zipo sawa ? Umepita juu ya bunge ukaenda kulenga wapi ? , maana uhalibifu tulisikia umetokea kwenye kambi mbili za mipakani , au zilpita juu ya bunge zikarudi mpakani ?
Sasa ww muisrael uishiye huko tuambie madhara gani yametokea yaani mnakuwa km watoto mnataka israel iseme ukweli kuwa imeharikiwa kiasi gani ? bila kusahau kasaidiwa na washirika wake kujirinda kwa bil.$ of dollars nyie mnafanya mchezo Israel anaugulia jamani acheni masihara na vita vya sasa propanda ni nyingi , waafrika tujitambue na tuwekeze kwenye sayansi bila ushabiki huu
 
Wananchi wa Israel wanataka kuishi, watoto waende shule, watu waende kazinj kwenye majukumi ya kila siku, wakulima waende shambani, Israel kwa vyovyote itabidi waepuke hii vita, itawaumiza sana.

Hii sio 1960's, uwezo kupambana na hoa adui zote hawana.
Netapaka anaamini kila,kitu ni kutumia jeshi kumbe kuna mambo unapaswa uwe na busara kwa mda
 
Back
Top Bottom