Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

Mbona hatujiulizi Nchi jirani kama Rwanda na DRC zinavyopitisha bidhaa zao Dodoma?
Kwani Anga la Israel hakuna free zone hata kama ni juu ya bunge?..mbona tunatanguliza mashaka sana
🤣🤣 hebu kuwa siriaz mkuu Rwanda na DRC wanapitisha mchele na mafuta ya kula ufananishe na kupitisha rockets na mabomu?
 
akili zako zipo sawa ? Umepita juu ya bunge ukaenda kulenga wapi ? , maana uhalibifu tulisikia umetokea kwenye kambi mbili za mipakani , au zilpita juu ya bunge zikarudi mpakani ?
Sasa ww muisrael uishiye huko tuambie madhara gani yametokea yaani mnakuwa km watoto mnataka israel iseme ukweli kuwa imeharikiwa kiasi gani ? bila kusahau kasaidiwa na washirika wake kujirinda kwa bil.$ of dollars nyie mnafanya mchezo Israel anaugulia jamani acheni masihara na vita vya sasa propanda ni nyingi , waafrika tujitambue na tuwekeze kwenye sayansi bila ushabiki huu
 
Netapaka anaamini kila,kitu ni kutumia jeshi kumbe kuna mambo unapaswa uwe na busara kwa mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…