sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania.
Kuna kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran.
Ni wazi kuwa Iran kuna mashushushu wengi sana wa nchi za magharibi, na ni suala la muda hata kiongozi wa juu wa Iran atakuja uwawa kirahisi hivyo hivyo.
kifupi, this is BIG L for Iran, ni aibu kubwa sana.