Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Hapo ghaza ndo Israeli imepigika vibaya mno na vita haijulikani itaisha lini maana makamanda wa Israeli ni kama wameishiwa mbinu hiviEeh mbona visingizio tena. Mara hii mmetupa taulo si mlisema Israel mbele ya Iran hafurukuti.
Israel imetoa kichapo Yemen, ikatoka ikatoa kichapo Lebanon, sasa imetoa Tehran. Na bado inafundisha heshima Gaza. Bado tu hamtaki kuamini.
Rais wa Iran ndio kwanza kaapishwa mara ghafla anaelekezwa who is the boss hapo Middle East.
Kwa upande wa Lebanon kila MTU anajua Hezbollah walivyo igeuza miji ya kaskazini mwa Israeli kuwa magofu kila siku DRONE za Hezbollah hua zinajipigia tu huko galilee na golan huku iron dome zikikodoa macho
Israeli imeweka vikosi vyake karibu na mpaka wa Lebanon. Lakini bado wanajishauri wanaingiae hapo Lebanon ikiwa ghaza tu mpaka leo imewashinda