hahaha Sisi tuna polisi wenye intelijensia bora kuliko wote duniani alafu jeahi letu ni la 6 kwa ubora duniani mkuuu iran hapa wanapigwa mapema tuš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ukilinganganisha na nani labda? tanzagiza au?
Mkuu kwenye hiyo vita na iran labda tuwapeleke ngedere kwanza wakaharibu mifumo yote ya umeme katik kambi zaohahaha Sisi tuna polisi wenye intelijensia bora kuliko wote duniani alafu jeahi letu ni la 6 kwa ubora duniani mkuuu iran hapa wanapigwa mapema tuš¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Hilo ni onyo mubashara kwa Ayatollah kuwa hata yeye anaweza kuwa kwenye target, akae kwa kutuliakitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania...
sio tu nchini kwao, bali kwenye makazi ya wageni ndani ya jeshi la iran, akilindwa mno, na mosad aliyemuua ni mzima wa afya na hawajamkamata, kesharudi israel.kitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania.
kua kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran.
Ni wazi kua Iran kuna mashushushu wengi sana wa nchi za magharibi, na ni suala la muda hata kiongozi wa juu wa Iran atakuja uwawa kirahisi hivyo hivyo.
kifupi, this is BIG L for Iran, ni aibu kubwa sana.
kuita Iran magaidi na kuona Israel na US ni watu wema ni ugonjwa wa akili au chuki iliopitilizaHao Iran Saddam mwenyewe walimshindwa walipigana miaka kumi na kitu bila kumshinda, shida ya Israel na USA wanafuata sana sheria za vita la sivyo Iran na magaidi wenzao wangefutwa siku moja tu.
a western faggotIslamist huwa ni wachovu sana.
Nakubaliana na wewe iran kwenye ushushushu hawapo vizuri nchi za magharibi zilishapenentrate kizazi chao zamani sana middle eastkitendo cha kiongozi wa kisiasa wa Hamas kuuwawa tena nchini kwao, kwenye mji mkuu wao, mgeni aliku alikwa na raisi, na wameshindwa kumlinda, inaonesha ni jinsi gani hawako vile watu wanawadhania.
kua kesi nyingi sana za kuuwawa wanasanyansi wa nyukria wa Iran.
Ni wazi kua Iran kuna mashushushu wengi sana wa nchi za magharibi, na ni suala la muda hata kiongozi wa juu wa Iran atakuja uwawa kirahisi hivyo hivyo.
kifupi, this is BIG L for Iran, ni aibu kubwa sana.
Naona Washabiki wa Magaidi mumekasirikaš¤£a western faggot
Sio mauaji ya kizembe. Sasa wewe unaipanga Namungo icheze na Barcelona, Namungo inafungwa alafu unalalamika imefungwa kizembe?Eneo ambalo ameuawa ni la jeshi la Iran huku mauaji haya yakifanywa Kwa njia ya projectile kutoka Israel yaani hata rada zimeshindwa kusoma.
Ni zaidi ya miaka 40 haijawahi kutokea mauaji ya kizembe kama haya ndani ya Iran
Siku hizi unaandika fact mkuu.Yule Ayatollah wakitaka wanammaliza mda wowote ...Sio salama kwa vile kuna wanaisrael ndani ya vitengo vyake.
Eeh mbona visingizio tena. Mara hii mmetupa taulo si mlisema Israel mbele ya Iran hafurukuti.Iran utawasumbua kwenye mambo ya ujasusi kwa sababu ina maadui wengi kwenye vita ya moja kwa moja hata marekani inaujua mziki wa Iran