Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

Umesoma ripoti ya vifo vya askari wanne wa IDF juzi kusini mwa Lebanon!?
Hizbollah operation anazozifanya zote ni kwa msaada wa IRGC,hivyo usiseme kuwa Iran haina tishio kwa Israel.
Askari wa Israel 🇮🇱 walikufa kusini mwa Lebanon 🇱🇧 yes kwani wao ma robot hawafi?? Hizo collateral za vita vipi hisbollah wangapi wamekufa? Mana viongozi wao wamefukiwa kama panya
 
Mkuu leta evidence acha porojo nataka kuona vituo vya kijeshi vya Israel vilivyoteketezwa maana vya iran nimeona kwa picha ya satellite 🛰
Satellite tena ..umeona wapi au nyumbani mnamiliki Satellite mkuu
 
Nimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa..
Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali.
Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa sasa ikitokea hamna ama ni kidogo basi mpinzani kashinda.
Kwa mantiki hiyo, Iran ipewe maua yake🤣
umecheki kwa kutumia youtube wakati Iran wanalalamika kuwa wameumizwa.
 
Sijasoma linguistic ndio hiyo missiles za iran zimeua watu wangapi Israel mkuu tuone efficiency and effectiveness??
Mana za Israel 🇮🇱 zimeua wanajeshi wa iran na rais ametumba ramba rambi

Kama ishu ni kuua basi Israel imefeli pakubwa maana haiwezekani upeleke ndege zote mpaka Iraq alafu uue watu 4 pekee.
Bora ya Iran wao walishambulia kibrazameni wakiwa kwao, no refueling costs, etc.
 
Kama ishu ni kuua basi Israel imefeli pakubwa maana haiwezekani upeleke ndege zote mpaka Iraq alafu uue watu 4 pekee.
Bora ya Iran wao walishambulia kibrazameni wakiwa kwao, no refueling costs, etc.
Iran wameua mpalestina mmoja west bank nothing else.
Israel imeteketeza miundombinu ya kijeshi ya iran na askari kadhaa nani hapo kafanikisha maleng?
 
Shida yako huwa unaleta link pasi na kuisoma.
Embu soma hiyo ripoti vizuri.
Screenshot_2024-10-30-14-48-02-05_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2024-10-30-14-48-02-05_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Iran wameua mpalestina mmoja west bank nothing else.
Israel imeteketeza miundombinu ya kijeshi ya iran na askari kadhaa nani hapo kafanikisha maleng?
Usiongope we jamaa.
Iran imeleta madhara katika majumba na kambi za jeshi ikiwemo Nevatim airbase.
Makazi takriban 100 ya Israel yaliharibika pia.
Ukija katika case ya Israel kushambulia Iran,millitary infrastructures nyingi za Iran ni underground situated.
Utapiga jengo juu ila facility zote zipo chini.
Ulileta ripoti embu soma sehemu ya ripoti yangu hapo bado inasema yaleyale kuwa satellite images haziwezi kueleza kwa kina uharibifu yani hazileti uhakika vizuri wa uharibifu.
This means that Israeli strike was a failure according to the power that was used to strike.
Screenshot_2024-10-30-14-48-02-05_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom