Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

Umesoma ripoti ya vifo vya askari wanne wa IDF juzi kusini mwa Lebanon!?
Hizbollah operation anazozifanya zote ni kwa msaada wa IRGC,hivyo usiseme kuwa Iran haina tishio kwa Israel.
Askari wa Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ walikufa kusini mwa Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง yes kwani wao ma robot hawafi?? Hizo collateral za vita vipi hisbollah wangapi wamekufa? Mana viongozi wao wamefukiwa kama panya
 
Mkuu leta evidence acha porojo nataka kuona vituo vya kijeshi vya Israel vilivyoteketezwa maana vya iran nimeona kwa picha ya satellite ๐Ÿ›ฐ
Satellite tena ..umeona wapi au nyumbani mnamiliki Satellite mkuu
 
umecheki kwa kutumia youtube wakati Iran wanalalamika kuwa wameumizwa.
 
Satellite tena ..umeona wapi au nyumbani mnamiliki Satellite mkuu
๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† mkuu acha uvivu ingia Google kuna access za satellite images kama Russia na Ukraine tunavoona damages
 
๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† mkuu acha uvivu ingia Google kuna access za satellite images kama Russia na Ukraine tunavoona damages
Ww unajua kusoma satellite image before and after .
 
Sijasoma linguistic ndio hiyo missiles za iran zimeua watu wangapi Israel mkuu tuone efficiency and effectiveness??
Mana za Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ zimeua wanajeshi wa iran na rais ametumba ramba rambi

Kama ishu ni kuua basi Israel imefeli pakubwa maana haiwezekani upeleke ndege zote mpaka Iraq alafu uue watu 4 pekee.
Bora ya Iran wao walishambulia kibrazameni wakiwa kwao, no refueling costs, etc.
 
Kama ishu ni kuua basi Israel imefeli pakubwa maana haiwezekani upeleke ndege zote mpaka Iraq alafu uue watu 4 pekee.
Bora ya Iran wao walishambulia kibrazameni wakiwa kwao, no refueling costs, etc.
Iran wameua mpalestina mmoja west bank nothing else.
Israel imeteketeza miundombinu ya kijeshi ya iran na askari kadhaa nani hapo kafanikisha maleng?
 
Iran wameua mpalestina mmoja west bank nothing else.
Israel imeteketeza miundombinu ya kijeshi ya iran na askari kadhaa nani hapo kafanikisha maleng?
Usiongope we jamaa.
Iran imeleta madhara katika majumba na kambi za jeshi ikiwemo Nevatim airbase.
Makazi takriban 100 ya Israel yaliharibika pia.
Ukija katika case ya Israel kushambulia Iran,millitary infrastructures nyingi za Iran ni underground situated.
Utapiga jengo juu ila facility zote zipo chini.
Ulileta ripoti embu soma sehemu ya ripoti yangu hapo bado inasema yaleyale kuwa satellite images haziwezi kueleza kwa kina uharibifu yani hazileti uhakika vizuri wa uharibifu.
This means that Israeli strike was a failure according to the power that was used to strike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ