Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mji wa Kerdzh huko Iran umeshambuliwa , kuna air defence activities zinazoendelea kulinda anga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Houth wanamshambuliaje Boss wao?Most likely watakuwa wanamgambo wa Houthi wameshambulia kwa drones zao zile!
... wewe umenielewa sawia! Kama Iran wanafanya mashambulizi kwa wengine iwe moja kwa moja au kwa kutumia mamluki ni sahihi kabisa na wao kushambuliwa.Houth wanamshambuliaje Boss wao?
Mhuu so Media zimeisagia au wewe umeipata wapi mkuu ???Hakuna habari hii Duniani kwa muda huu
Houthi wana uhusiano mzuri na Iran. Labda itakuwa wale wa-Iran wanaotumiwa na Israel kuendesha harakati zao dhidi ya jamhuri ya Kiislamu.Most likely watakuwa wanamgambo wa Houthi wameshambulia kwa drones zao zile!
Wakubwa wakishafanya tukio wanachagua habari gani iende viral na ipi ibaki gizani. Wanafanya hivyo kupunguza kelele za raia wao wasiopenda vita, lakini kimyakimya wanafanya matukio.Subiri kwanza. Tupe source ya hii habari maana nipo hapa natizama mainstream media zote sijaona hii kitu.
Umejitahid kutetea maboko yako lkn kwa ishu hii umetipwikaWakubwa wakishafanya tukio wanachagua habari gani iende viral na ipi ibaki gizani. Wanafanya hivyo kupunguza kelele za raia wao wasiopenda vita, lakini kimyakimya wanafanya matukio.