Iran imepanic; Hadi sasa hakuna ndege ya Israel wala meli ya Marekani iliyoshambuliwa

Iran imepanic; Hadi sasa hakuna ndege ya Israel wala meli ya Marekani iliyoshambuliwa

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,117
Iran amepanic balaa.. hadi sasa hajaweza kudondosha hata ndege moja ya israel kati ya ndege nyingi zinazofanya mashambulizi kwenye anga lake.

Hadi sasa hajaweza kuzamisha hata meli moja ya marekani kama alivokua akijitapa mwanzo kwamba kadiri meli hizo zinavomsogelea basi kombora lake moja tuu linazamisha meli hizo.

kwa ninavojua mimi nyoka akiingia ndani kwako akaua watoto wako cha kwanza unachotakiwa kufanya ni kumuua yule nyoka kwanza then ndo utoke nje ukatafute masalia yake na kuyaangamiza. sasa alichofanya iran badala adhibiti mashambulizi ndani ya ardhi yake yeye amekimbilia kwenda kupiga apartments za tel aviv na hotel za dubai.

Adui yake anapiga stratigic sites kama misile launchers, military bases na mahandaki walipojificha viongoz, hadi sasa viongozi wake wa juu 40 washauliwa. Si anajisifu ana makombira yasiyozuilika sasa kwa nini asiyatumie kuangamiza ndege za israel zinazomshushia mvua ya makombora?

Kwanini asizamishe hizo meli za Marekani ambazo alijitapa atazizamisha kwa kombora moja tu? badala yake waliosema hayo maneno wao ndo wamezamishwa kweye udongo wakiwa dead object

KWELI IRAN NI MBWA ANAYEBWEKA ASIYE NA MENO
 
ati walikuwa wanafuturu!..😃
Ndio muda wao wa kufakamia chakula ulifika baada ya kushinda njaa mchana kutwa, sasa Ayatollah alikuwa ameshiba mpaka kushindwa kusimama na hapo hapo akapewa kibali cha kwenda peponi kufurahia bikra.
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-01-00-41-08-786.jpg
    Screenshot_2026-03-01-00-41-08-786.jpg
    102.5 KB · Views: 25
  • 2026_02_28_19_32_59.mp4
    2.8 MB
Meli ya kivita ya marekani imeshamnuliwa na kuharibuwa sana
Nyie mashehe ubwabwa mngeachana na hizi porojo za masjid mzingatie sala salaa labda ingewasaidia msipate mashinikizo ya damu.
 
Google😀😃😄😁😆😅😂🤣 watu8 bado uko Ar? Habari za miaka minhi

Ngoja ni google, sijaona hizo habari Aljazeera

Nipo umangani, niombee anga lifunguliwe sikukuu tule wote chugga...

20260301_141511.jpg
 
Back
Top Bottom