Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Meli ya mizigo ikiwa na shehena ya container imekamatawa nakuchukuliwa na Iran kama ile Tank ya US yenye mafuta wizi toka Mashariki ya kati

IMG_20240413_190253.jpg
IMG_20240413_181821.jpg

Tehran, Iran – Iranian armed forces have seized a container ship near the Strait of Hormuz amid rising tensions across the region after a deadly Israeli attack on Iran’s consulate in Syria.

The ship was commandeered by the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), the elite force that lost seven members, including two generals, in the Syria strike, Iranian state media reported on Saturday.

“The ship has now been guided towards the territorial waters of our country,” state-run IRNA reported.

The vessel was identified as the Portugal-flagged MSC Aries, which reportedly departed from a port in the United Arab Emirates en route to India. It is associated with the London-based Zodiac Maritime, a part of the Zodiac Group run by Israeli billionaire Eyal Ofer and his family.

Footage from the deck of the vessel obtained by The Associated Press news agency on Saturday showed soldiers rappelling down from a helicopter.

‌The helicopter appeared to be a Soviet-designed Mil Mi-17, which is operated by the naval forces of the IRGC.

Zodiac Maritime said in a statement that MSC, an Italian-Swiss shipping group, was responsible for all vessel activities.

MSC confirmed there were 25 crew members on board the ship, adding in a statement that it is “working closely with the relevant authorities to ensure their wellbeing, and safe return of the vessel”.

The United Kingdom Maritime Trade Operations (UKMTO) had said a vessel was seized by “regional authorities” 50 nautical miles (92km) northeast of the UAE’s Fujairah in a waterway vital to world trade.

Another Israeli-linked container ship was attacked and damaged by a drone in the Indian Ocean in late November, which the United States blamed on Iran.
 
Mi siku zangu zooote niliamini kwamba Israel inaweza kuingia vitani peke yake bila support kutoka magharibi... lkn kwa matamko ya leo ya bidden nikagundua kumbe Israel imewekwa tu pale na mataifa ya Magharibi kwa ajili ya poyoyo na kuzichokoza nchi za Kiarabu ili zisiweze kulala usingizi.
 
Kwa hiyo?
Wewe ulitakaje?
Waarabu wanamuogopa Israeli?
 
Mi siku zangu zooote niliamini kwamba Israel inaweza kuingia vitani peke yake bila support kutoka magharibi... lkn kwa matamko ya leo ya bidden nikagundua kumbe Israel imewekwa tu pale na mataifa ya Magharibi kwa ajili ya poyoyo na kuzichokoza nchi za Kiarabu ili zisiweze kulala usingizi.
mbona nyie waarab mnakuja mande , anzeni kuja mmoja mmoja halaf ndo muombe Israel apigane pekee yake , sasa hv Iran + Yemen + Gaza + Lebanon
 
Iran kawambia Marekani na Uingereza hamna bahari ya kimataifa hiyo ni bahari ya Iran na nchi za kiarabu kama mnaweza njooni muichukue hi meli.
 
Hicho ndicho Iran anachoweza kukifanya hamna zaidi ya hapo. It's what the Persian state can do to overcome its frustrations.
Vyombo vya habari vya Israel vinaandika kwamba wanasiasa wote wa Israel walipokea amri ya kubaki Israel na kufuta safari zao zote nje ya nchi.

Waziri wa mambo ya nje Israel Katz aliahirisha ziara yake iliyokuwa imepangwa kufanyika kesho katika nchi za Hungary na Austria kutokana na hali ya usalama.

Vyombo vya habari vya Israel vinasema kuwa kesho itakuwa siku yenye shughuli nyingi zaidi katika Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion kutokana na maelekezo ya mbele ya nyumba, huku abiria 55,000 wakivuka hadi sasa.

Shule zote nchini Israeli zitafungwa, kuanzia kesho - IDF Home Front Command.

Jeshi la Israel linasema kuwa vikosi vyote viko katika "tahadhari kamili" na kwamba "ndege kadhaa ziko angani" kama sehemu ya utayari wa tishio la Irani.
Wewe Muisrael mweusi bakia na ushabiki mandazi mabwana zako wanajambishwa na Iran🤣
 
Usa anavyo winda wenzake ndo ivyo ivyo na yeye ana windwa .ndo maana kwenye ngoma za wakubwa haingii peke ake kamwee
 
We acha ushabiki, meri ambay Iran iliichukua kutoka USA, USA waliiteka kisha wakaiuza, then alieuziwa akakatisha mitaa ya waajemi, wakapita nayo
 
mbona nyie waarab mnakuja mande , anzeni kuja mmoja mmoja halaf ndo muombe Israel apigane pekee yake , sasa hv Iran + Yemen + Gaza + Lebanon
we mimi sio Mwarabu na sio muislam... mimi ni Mwafrika mtanzania na Mkristo wa dhehebu la KKKT...
 
Afisa mmoja wa Marekani alifahamisha Al Jazeera kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Iran kufanya mashambulizi dhidi ya Israel saa za alfajiri ya kesho Jumapili.

Walla News inaripoti kuwa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu na mkewe wamehamishwa hadi eneo lisilojulikana.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Jordan inaripoti kuwa usafiri wa anga uliathiriwa kutokana na kuingiliwa kwa mfumo wa GPS, na kusababisha matumizi ya mifumo mbadala.

Iran anawajambisha😂
 
Makafiri kazi wanayo safari hii
 
Naamini hamuijui israel vizuri hiyo nchi ni very dangerous when it comes to war.
 
Mi siku zangu zooote niliamini kwamba Israel inaweza kuingia vitani peke yake bila support kutoka magharibi... lkn kwa matamko ya leo ya bidden nikagundua kumbe Israel imewekwa tu pale na mataifa ya Magharibi kwa ajili ya poyoyo na kuzichokoza nchi za Kiarabu ili zisiweze kulala usingizi.
Israel bila Marekani ni kama mbwa mchamga aliyefiwa na mama yake.Anaweza hata kunyonyeshwa na Mbuzi jike.Hata mtoto mdogo asiyekuwa na akili anajua kuwa Iran ina uwezo wa Kuipiga Israel ila Marekani inaweka kitisho ili Iran isifanye hivyo.
 
mbona nyie waarab mnakuja mande , anzeni kuja mmoja mmoja halaf ndo muombe Israel apigane pekee yake , sasa hv Iran + Yemen + Gaza + Lebanon
Hapo mbona kila mmoja anapambana kivyake?
Kila mmoja yuko nchini kwake
 
Back
Top Bottom