Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

Iran imeteka meli ya Israel ikiwa na shehena ya mizigo

Huko gaza kwenye wamejaa USA soldiers hao diepers soldiers vita vilishawashinda kitambo wanasaidiwa na wanaume zao

Israel bila msaada si chochote, we fikiria tu pamoja na msaada wa Marekani na bado wameshindwa kuwapata Hamas, hasira zao zinaenda kuuwa wasio na hatia, watoto.
 
Vyombo vya habari vya Israel vinaandika kwamba wanasiasa wote wa Israel walipokea amri ya kubaki Israel na kufuta safari zao zote nje ya nchi.

Waziri wa mambo ya nje Israel Katz aliahirisha ziara yake iliyokuwa imepangwa kufanyika kesho katika nchi za Hungary na Austria kutokana na hali ya usalama.

Vyombo vya habari vya Israel vinasema kuwa kesho itakuwa siku yenye shughuli nyingi zaidi katika Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion kutokana na maelekezo ya mbele ya nyumba, huku abiria 55,000 wakivuka hadi sasa.

Shule zote nchini Israeli zitafungwa, kuanzia kesho - IDF Home Front Command.

Jeshi la Israel linasema kuwa vikosi vyote viko katika "tahadhari kamili" na kwamba "ndege kadhaa ziko angani" kama sehemu ya utayari wa tishio la Irani.
Wewe Muisrael mweusi bakia na ushabiki mandazi mabwana zako wanajambishwa na Iran🤣
Story za vijiweni nchi zenye Nuclear nikuheshimiana tu Iran hatafanya kitu
 
Kama hamas wanavyowategemea Iran Jordan na misri
Ss Hamas si chama cha Siasa chenye migambo tuu, kupigana na migambo mpaka upewe msaada??
Kupima sifa mnaziwapa walitakiwa ngoma hii na Iran wacheze wao wenyewe bila taifa lingine kuingiliaa
 
Back
Top Bottom