Iran imewaua makamanda wawili wa Israel mwezi huu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Mwaka umeanza kwa Iran kuwaua makamanda watatu wa Israel.

Hatimaye Iran yafanya mauaji ya makamanda wa juu wa jeshi la Israel na Marekani kimya kimya kwa kulipa kisasi cha Major General Qasem Solaiman.

Ajali hiyo ilitokea ya Helcopter huko Israel na iran imetangaza kuhusika na mauaji hayo na bado kuna mtu mmoja waliyeandika #Soon (punde).


Update: Hao makamanda wawili ni wa israel na mmoja ni wa marekani aliyeuliwa nchini QatarView attachment 2079219View attachment 2079220
 

Attachments

  • FB_IMG_1642064236680.jpg
    49 KB · Views: 69
  • FB_IMG_1642064234452.jpg
    57.1 KB · Views: 70
  • FB_IMG_1642064108570.jpg
    25 KB · Views: 69
  • FB_IMG_1642064106073.jpg
    27.1 KB · Views: 68
Mwaka umeanza kwa Iran kuwaua makamanda wawili wa Israel na mmoja wa marekani

Hatimaye Iran yafanya mauaji ya makamanda wa juu wa jeshi la Israel na Marekani kimya kimya kwa kulipa kisasi cha Major General Qasem Solaiman.

Ajali hiyo ilitokea ya Helcopter huko Israel na iran imetangaza kuhusika na mauaji hayo na bado kuna mtu mmoja waliyeandika #Soon (punde)

Na iran imekiri kuhusika kuwaua makamanda hawa.

 
Dogo kimsboy ungekuwa Chapanga ungeifutilia mbali Marekani bila kujali wavaa vijuba wenzio wapo huko
 
Hivi wewe kimsboy mfia dini ya uislam unafikiri kuna nchi ya kiislam inauwezo wa kupambana na Israel kweli . Israel akiamua anaweza kuisambaratisha Iran yote . Israel Ana technolojia kubwa

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Ila mbona tarehe ni ya mwaka jana
 
Ikithibitika kitu watamfamya iran hawez kusahau... Keep silence
 
kimsboy hicho kijarada ulichoweka hapa ni cha tarehe 1 July 2021.
 
Hivi wewe kimsboy mfia dini ya uislam unafikiri kuna nchi ya kiislam inauwezo wa kupambana na Israel kweli . Israel akiamua anaweza kuisambaratisha Iran yote . Israel Ana technolojia kubwa

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
angekua anaweza na hio mnayoisemea teknolojia yake kubwa angeishafanya
musitupigie kelele zauongo

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
 
Mbona anaweka news za zamani anahamishia mwaka 2022? Dogo kimsboy you can't change the history.. huyo kamanda alianguka jukwaani tu kwa maradhi mwaka jana ambapo ikafahamika ni natural death... iran hawezi claims kwa hilo ila kwa uzuzu waliweza huko unapotolea news uchwara zako...

This year kwenye maziezi helicopter ilianguka kwa hitirafu tena rubani alikuwa anaenda kuchukua majeruhi kwenye mazoezi ya kijeshi. 2 death reported iran ana claim vipi hapo... wadhani kupenetrate Ndani ya israel and ufanye tukio ni rahisi? Utanyonywa nnya dadeki.
 
Huyo mmoja atakuwa Bashite
 
Mbona habari picha ina sama ameanguka akiwa mazoezin? Na ww unasema vingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…