Iran imewaua makamanda wawili wa Israel mwezi huu

Iran imewaua makamanda wawili wa Israel mwezi huu

Watu wanakufa kwa mengine Iran anadai imewaua!
Iran kwa fix mh, na wakipigwa kwa fix zao wanaanza kulia!
 
Kasimu selemani alipo geuzwa kibla tuliona clip!
Tuwekeeni clip ya zoezi lote lilivyo tekelezwa likisimdikizwa na takbirrrrr...
Hawawezi kuwapata majeneral wa israel hawaendagi frontline,, hata kusafiri nje ya nchi ni kwa nadra sana,, wanaishi kwa kufichama sana,, [emoji23]
Like this[emoji116]
FH5Os2VWUAA0JNb.jpg
 
Back
Top Bottom