Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz,

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na uhasama unaoendelea na itafanya "uamuzi bora na wa maamuzi." "Tuna chaguzi nyingi za kulipiza kisasi dhidi ya adui, na majibu ya kijeshi ni sehemu tu ya hatua zetu," Kowsari alisema. Mlango wa bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimataifa ya usafirishaji wa mafuta,
taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International,,
Iran considers closing Strait of Hormuz, Revolutionary Guard commander says

Senior Revolutionary Guard commander Esmail Kowsari said on Saturday that Iran is considering closing the strategic Strait of Hormuz in response to ongoing hostilities and would make “the best and most decisive decision.”

“We have many options to retaliate against the enemy, and military responses are only part of our measures,” Kowsari said.

The Strait of Hormuz is a critical global oil transit route.
 
Attachments

  • Screenshot_2025_0614_155434.jpg
    Screenshot_2025_0614_155434.jpg
    120.1 KB · Views: 32

Wao watapitisha wapi.
 
Mpaka rais wa nchi kuuliwa si mchezo, cdf n.k
Ukiua kiongozi basi kuwe na impact.
Umeua viongozi bado adui ameweza kujisimamia kwa kiongozi wa mpito.
Aisee jua huyo adui wako ana mifumo thabiti ya uongozi.
Inamaana Kuna watu nyuma imara zaidi ambao wanaweza ku take cover kwa haraka.
Kwa viongozi waliouliwa Jana Kuna mtu alitegemea Iran ingejibu mashambulizi kwa nguvu vile.!?
 
Kwa viongozi waliouliwa Jana Kuna mtu alitegemea Iran ingejibu mashambulizi kwa nguvu vile.!?​
Si watu imara, bali itikadi ya kiimani ndio inayowabeba, wako tayari wafie vitani ata kama hawashindi. Ni sawa na umtoe mtu jicho lakini bado aendelee kupambana kwa kupigana.​
 
Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na uhasama unaoendelea na itafanya "uamuzi bora na wa maamuzi." "Tuna chaguzi nyingi za kulipiza kisasi dhidi ya adui, na majibu ya kijeshi ni sehemu tu ya hatua zetu," Kowsari alisema. Mlango wa bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimataifa ya usafirishaji wa mafuta,
taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International,,
Iran considers closing Strait of Hormuz, Revolutionary Guard commander says

Senior Revolutionary Guard commander Esmail Kowsari said on Saturday that Iran is considering closing the strategic Strait of Hormuz in response to ongoing hostilities and would make “the best and most decisive decision.”

“We have many options to retaliate against the enemy, and military responses are only part of our measures,” Kowsari said.

The Strait of Hormuz is a critical global oil transit route.
Enough talk lets fight....
Iran talks too much
 
Si watu imara, bali itikadi ya kiimani ndio inayowabeba, wako tayari wafie vitani ata kama hawashindi. Ni sawa na umtoe mtu jicho lakini bado aendelee kupambana kwa kupigana.​
Ndio uimara wenyewe huo kaka.
Uimara unaanzia kwenye imani inayokupa nguvu.
Wangekua sio imara wasingeendelea na mtanange,wangegeuka kama nchi zingine za kiarabu na kukubali yaishe.
 
Amechelewa sanaaa hivi hao waajemi kumbe hawana akili kama waarabu yaani mda wote huo walikua wanasubiri nini kufunga hivi wanamjua myahudi vizuri aisee
 
Ukiua kiongozi basi kuwe na impact.
Umeua viongozi bado adui ameweza kujisimamia kwa kiongozi wa mpito.
Aisee jua huyo adui wako ana mifumo thabiti ya uongozi.
Inamaana Kuna watu nyuma imara zaidi ambao wanaweza ku take cover kwa haraka.
Kwa viongozi waliouliwa Jana Kuna mtu alitegemea Iran ingejibu mashambulizi kwa nguvu vile.!?

Kiukweli mpaka hapo ilipaswa waislamu muwe mnachechemea kwa aibu, kila nikiangalia ramani ya Israel dhidi ya hayo mataifa yenu na mnavyolizwa, najichekea sana
 
Ndio uimara wenyewe huo kaka.
Uimara unaanzia kwenye imani inayokupa nguvu.
Wangekua sio imara wasingeendelea na mtanange,wangegeuka kama nchi zingine za kiarabu na kukubali yaishe.
Haina tofauti na vita vya majimaji, jamaa anasema ukisema maji risasi inageuka kuwa maji, matokeo yake wakawa wanakufa tu.​
 
Kiukweli mpaka hapo ilipaswa waislamu muwe mnachechemea kwa aibu, kila nikiangalia ramani ya Israel dhidi ya hayo mataifa yenu na mnavyolizwa, najichekea sana

Uislamu hautoi ruhusa kuua wanawake na watoto katika vita, otherwise Iran anayo mabomu ya kutwa vijumba vyote hapo Tel Aviv, ila anapiga kwa kiasi.

Tofauti na Yahudi, yeye kuua wanawake na watoto ni strategy ya kivita.
 
Back
Top Bottom