Ibrahim RaisRais Gani Tena kauliwa Mbona mnatuchanganya? Sie wengine huku kizimkazi tunasubir swala ya tarawei tupate habari za middle east.
Ibrahim RaisRais Gani Tena kauliwa Mbona mnatuchanganya? Sie wengine huku kizimkazi tunasubir swala ya tarawei tupate habari za middle east.
Kwahiyo kwa akili yako unafikiri Khamenei asipokuwepo ndo mpango hautatekelezwa? Hiyo ni system siyo mtu hata kufa wanasayansi ya Nuclear haimaanishi mpango wa Nuclear umesimama bado kazi inaendeleaNa mpango wa Israel kumuondoa madarakani huyo kabazi na vibaraka vyake sijui wataufunga mlango wakiwa mochwari ama mbinguni😂😂😂
Hawana muda hapo, siku si nyingi watakosa hayo mamlaka waliyonayo
Nadhani kwa yule babu, wanamuonea tu hurumaNa mpango wa Israel kumuondoa madarakani huyo kabazi na vibaraka vyake sijui wataufunga mlango wakiwa mochwari ama mbinguni😂😂😂
Hawana muda hapo, siku si nyingi watakosa hayo mamlaka waliyonayo
Iran inatafuta huruma kwa kuingiza itikadi za kiimani, mbona Saud Arabia, Quarter, Emirates, Misri n.k hawajihusishi na hii vita?Kiukweli mpaka hapo ilipaswa waislamu muwe mnachechemea kwa aibu, kila nikiangalia ramani ya Israel dhidi ya hayo mataifa yenu na mnavyolizwa, najichekea sana
Kwani huo mlango ungemsaidia kwa kiasi gani kama angefunga mapema!!Amechelewa sana, mpaka viongozi wa juu kuuwawa, inaonesha ni jinsi gani Iran haiko imara.
Tatizo ninaloliona hapo ni la kiteknolojia tuKwani huo mlango ungemsaidia kwa kiasi gani kama angefunga mapema!!
Hadi wanatia huruma Kwa kutojua impact ya hicho kitendo..... Wengi hapa hakuna wanachojuaYaani hajui umuhimu mlango wa bahari Hormuz?
Watanganyika, dah!
Hii kazi kweli kweli!
Baadhi ya mataifa ya kiislamu hayamuungi mkono Ayatollah.Kiukweli mpaka hapo ilipaswa waislamu muwe mnachechemea kwa aibu, kila nikiangalia ramani ya Israel dhidi ya hayo mataifa yenu na mnavyolizwa, najichekea sana
Inasikitisha sana yaani!Hadi wanatia huruma Kwa kutojua impact ya hicho kitendo..... Wengi hapa hakuna wanachojua
Wakuu wa nyuklia na mkuu wa majeshi kauwawa unasema hamna pact.Ukiua kiongozi basi kuwe na impact.
Umeua viongozi bado adui ameweza kujisimamia kwa kiongozi wa mpito.
Aisee jua huyo adui wako ana mifumo thabiti ya uongozi.
Inamaana Kuna watu nyuma imara zaidi ambao wanaweza ku take cover kwa haraka.
Kwa viongozi waliouliwa Jana Kuna mtu alitegemea Iran ingejibu mashambulizi kwa nguvu vile.!?
Lete ushahidi wa hivyo viwanda vya gesi.Wakuu wa nyuklia na mkuu wa majeshi kauwawa unasema hamna pact.
Plant za nyuklia zimelipuliwa , viwanda vinne vikubwa vya kuzalisha gesi vinawaka moto unasema hamna impact.
Iran hatabakishwa .
Makafiri wanadhani wakiua viongozi wa Kiislamu basi hiyo jamii au kikundi kinasambaratika.Amechelewa sana, mpaka viongozi wa juu kuuwawa, inaonesha ni jinsi gani Iran haiko imara.
Iran inakuwa GazaMakafiri wanadhani wakiua viongozi wa Kiislamu basi hiyo jamii au kikundi kinasambaratika.
Haiko hivyo Abadan . Wakati wa vita kiongozi anajulikana, na atakaemrithi, na mrithi na mrithi. Hakuna ombwe lolote la uongozi likitokea la kutoka kwa kamanda wa vita.