Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wao watapitisha wapi.Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na uhasama unaoendelea na itafanya "uamuzi bora na wa maamuzi." "Tuna chaguzi nyingi za kulipiza kisasi dhidi ya adui, na majibu ya kijeshi ni sehemu tu ya hatua zetu," Kowsari alisema. Mlango wa bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimataifa ya usafirishaji wa mafuta,
taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International,,
Iran considers closing Strait of Hormuz, Revolutionary Guard commander says
Senior Revolutionary Guard commander Esmail Kowsari said on Saturday that Iran is considering closing the strategic Strait of Hormuz in response to ongoing hostilities and would make “the best and most decisive decision.”
“We have many options to retaliate against the enemy, and military responses are only part of our measures,” Kowsari said.
The Strait of Hormuz is a critical global oil transit route.
Amechelewa kwako sio kwa mipango yao.Amechelewa sana, mpaka viongozi wa juu kuuwawa, inaonesha ni jinsi gani Iran haiko imara.
Mpige kichwani afe kabisa Muue 😆Amechelewa kwako sio kwa mipango yao.
Wana uelewa wa situation kuliko wewe .
Mpaka rais wa nchi kuuliwa si mchezo, cdf n.kAmechelewa kwako sio kwa mipango yao.
Wana uelewa wa situation kuliko wewe .
Ukiua kiongozi basi kuwe na impact.Mpaka rais wa nchi kuuliwa si mchezo, cdf n.k
Ukiua kiongozi basi kuwe na impact.
Umeua viongozi bado adui ameweza kujisimamia kwa kiongozi wa mpito.
Aisee jua huyo adui wako ana mifumo thabiti ya uongozi.
Inamaana Kuna watu nyuma imara zaidi ambao wanaweza ku take cover kwa haraka.
Kwa viongozi waliouliwa Jana Kuna mtu alitegemea Iran ingejibu mashambulizi kwa nguvu vile.!?
Na mpango wa Israel kumuondoa madarakani huyo kabazi na vibaraka vyake sijui wataufunga mlango wakiwa mochwari ama mbinguni😂😂😂Amechelewa sana, mpaka viongozi wa juu kuuwawa, inaonesha ni jinsi gani Iran haiko imara.
Enough talk lets fight....Wadau hamjamboni nyote te, Iran inafikiria kufunga Mlango wa bahari wa Strait of Hormuz, kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi anasema Kamanda Mwandamizi wa Walinzi wa Mapinduzi Esmail Kowsari alisema Jumamosi kwamba Iran inafikiria kufunga mlango wa kimkakati wa Hormuz ili kukabiliana na uhasama unaoendelea na itafanya "uamuzi bora na wa maamuzi." "Tuna chaguzi nyingi za kulipiza kisasi dhidi ya adui, na majibu ya kijeshi ni sehemu tu ya hatua zetu," Kowsari alisema. Mlango wa bahari wa Hormuz ni njia muhimu ya kimataifa ya usafirishaji wa mafuta,
taarifa kamili hapo chini kwa kimombo By Iran International,,
Iran considers closing Strait of Hormuz, Revolutionary Guard commander says
Senior Revolutionary Guard commander Esmail Kowsari said on Saturday that Iran is considering closing the strategic Strait of Hormuz in response to ongoing hostilities and would make “the best and most decisive decision.”
“We have many options to retaliate against the enemy, and military responses are only part of our measures,” Kowsari said.
The Strait of Hormuz is a critical global oil transit route.
Ndio uimara wenyewe huo kaka.Si watu imara, bali itikadi ya kiimani ndio inayowabeba, wako tayari wafie vitani ata kama hawashindi. Ni sawa na umtoe mtu jicho lakini bado aendelee kupambana kwa kupigana.
Ukiua kiongozi basi kuwe na impact.
Umeua viongozi bado adui ameweza kujisimamia kwa kiongozi wa mpito.
Aisee jua huyo adui wako ana mifumo thabiti ya uongozi.
Inamaana Kuna watu nyuma imara zaidi ambao wanaweza ku take cover kwa haraka.
Kwa viongozi waliouliwa Jana Kuna mtu alitegemea Iran ingejibu mashambulizi kwa nguvu vile.!?
Ndio uimara wenyewe huo kaka.
Uimara unaanzia kwenye imani inayokupa nguvu.
Wangekua sio imara wasingeendelea na mtanange,wangegeuka kama nchi zingine za kiarabu na kukubali yaishe.
Rais Gani Tena kauliwa Mbona mnatuchanganya? Sie wengine huku kizimkazi tunasubir swala ya tarawei tupate habari za middle east.Mpaka rais wa nchi kuuliwa si mchezo, cdf n.k
Kiukweli mpaka hapo ilipaswa waislamu muwe mnachechemea kwa aibu, kila nikiangalia ramani ya Israel dhidi ya hayo mataifa yenu na mnavyolizwa, najichekea sana
Yaani hajui umuhimu mlango wa bahari Hormuz?Amechelewa kwako sio kwa mipango yao.
Wana uelewa wa situation kuliko wewe .
Ni viongozi wa juu wa kijeshi, mnapoishia kusema tu viongozi wa juu mnakosea sana na taarifa zenu zinakuwa za uongo.Amechelewa sana, mpaka viongozi wa juu kuuwawa, inaonesha ni jinsi gani Iran haiko imara.