Islamists wameiharibu sana IranUkifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe.
Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
Exactly, Iran kushambulia Israel hivi sasa ni kutapelekea Netanyahu kutangaza nchi ipo vitani na uchaguzi haufanyiki...Kuishambulia now Israel ni kumpa credit Netanyahu kuelekea uchaguzi ujao...so Iran anajua hilo kuwa akishambulia Israel na Jamaa wakaanzisha vita tena vinampa excuse na huruma Bibi kwenye Box!
una wazimuKabla ya utawala wa Kiislamu haujachukua nchi ya Iran, Wayahudi wengi walikuwa wanaishi Iran. Iran ina vibaraka wengi sana wenye asili ya Kiyahudi. Israel inaijua Iran nje ndani.
Mfano mwingine ni China na Taiwan. US anaitaka sana vita dhidi ya China, China imewahi kutawaliwa na UK, kwahiyo China inafahamika kiundani sana na Magharibi. Ni kama Bara zima la Africa tuogope kuipiga na kuichukua Zanzibar. Hapo ndo mfano halisi wa China na Taiwan. Hapo ndio ujue US sio mtoto kama mashabiki wengi humu wanavyopiga domo.
Muda huu anakiwasha Ukraine dhidi ya Russia, anakiwasha dhidi ya Iran yeye mwenyewe na kumsaidia pia Israel. Na bado pia anapiga heavy military drills kwa Taiwan kujiandaa na Mchina akizingua.
Hii dunia ina wababe na mbabe wake mkuu ni USA.
du 7/10/2023 mbn walipewa sindanowanaijua israel jinsi wanavyoweza kukufuata kona yoyote ya dunia na wakakukamata au kukuua, na teknologia yoyote ya mawasiliano ukiitukia tu, umekwisha,
View: https://youtube.com/shorts/R2esLJe7AaI?si=c8iTwkgE-VEjPqKH
ile ilikuwa ni sindano ya chanjo tu, haiumi, Iran hawakuwa na strategic targets, ilikuwa ni recless attacks of little military valueuna wazimu
du 7/10/2023 mbn walipewa sindano
du 7/10/2023 ni IRAN?????????????????????? au umebaka madaile ilikuwa ni sindano ya chanjo tu, haiumi, Iran hawakuwa na strategic targets, ilikuwa ni recless attacks of little military value
- Israel pursued a targeted "decapitation strategy" against Iran’s political, military, and intelligence leadership backed by extensive covert surveillance and real-time intelligence
- Targeting High-Level Leadership: The campaign—unfolding during the 2006/2026 regional conflict—aimed to fracture Iran's command and control by eliminating top figures.
- Intelligence-Driven Strikes: Operations relied on years of signal intelligence, satellite tracking, human sources
- Major Figures Killed:
- Ayatollah Ali Khamenei: Iran's Supreme Leader, killed in strikes in Tehran on February 28, 2026.
- Esmail Khatib: Iran's Intelligence Minister, killed in March 2026.
- Ali Larijani: Senior national security and political official.
- Seyed Majid Khademi: Head of intelligence for the Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC), killed in April 2026.
- Additional military commanders, regional intelligence chiefs, and security officials.
Ukifuatilia vizuri Iran ameshika adabu kuigusa Israel, na Netanyahu anatamani sana kuguswa akinukishe.
Iran kashambulia Waarabu wote tangu mwezi wa 6 ila hajaigusa Israel, sasa hivi Wahouthi wanaishambulia Saudia kila Siku, ila wamesema hawagusi meli za Israel.
On October 7, 2023, Iran did not launch a direct military attack on Israel. Instead, the date marks the surprise attack on Israel led by Hamas from the Gaza Stripdu 7/10/2023 ni IRAN?????????????????????? au umebaka mada
sasa data za iran ulinipa za nini?On October 7, 2023, Iran did not launch a direct military attack on Israel. Instead, the date marks the surprise attack on Israel led by Hamas from the Gaza Strip
View attachment 3691912GAZA city after Oct 7, 2023
- Roughly 1,000 Hamas militants were killed inside Israel during and immediately following the initial breach
- Israeli military operations and targeted strikes have significantly weakened both Hamas in Gaza and Iran's regional proxy and military structure
View attachment 3691914
Tel Aviv
sasa data za iran ulinipa za nini?
be specific unataka data gani?, angalia data hizo chini, utajua nani ameathirika na vitasasa data za iran ulinipa za nini?
niambie unataka data gani? nina utajiri wa taarifa za Iran/Persia, chache za kiuchumi nilizotoa hapo juu hazikufurahishi/hauzielewewi?sasa data za iran ulinipa za nini?
asante mimi nilitaka kuambia kama israeli ni superiour 7/10 hawatakaa wasahau katika historia yao. same to marekani 11/9niambie unataka data gani? nina utajiri wa taarifa za Iran/Persia, chache za kiuchumi nilizotoa hapo juu hazikufurahishi/hauzielewewi?
ndiyo mauaji ya raia wasio na hatia hayawezi kusahaulika, na mnaofurahia hiyo raha/thrill ya kuua raia ni furaha yenu ya milele, lakini USA na ISRAEL wanasonga mbele ktk nyanja zote kuliko maadui zao combined, maadui bado wako kwenye ujima wa kujitoa mhanga ili kuua raiaasante mimi nilitaka kuambia kama israeli ni superiour 7/10 hawatakaa wasahau katika historia yao. same to marekani 11/9
furaha yenu ya milele, labda yako...ndiyo mauaji ya raia wasio na hatia hayawezi kusahaulika, na mnaofurahia hiyo raha/thrill ya kuua raia ni furaha yenu ya milele, lakini USA na ISRAEL wanasonga mbele ktk nyanja zote kuliko maadui zao combined, maadui bado wako kwenye ujima wa kujitoa mhanga ili kuua raia
Israel iliumia zaidi kwenye vita kuliko Iran. Usilete data za upande mmoja. Na hiyo Israel kama isingekua financial back up ya Marekani basi ingeshaanguka kiuchumi muda sana.be specific unataka data gani?, angalia data hizo chini, utajua nani ameathirika na vita
- Iran faces a severe, structural economic crisis and deep household hardship, whereas Israel's economy—while burdened by high defense spending and regional conflict costs—remains vastly larger, technologically resilient, and projected to grow
- Inflation and Currency Collapse: Annual inflation has approached or exceeded 90%, with the Iranian rial losing over 90% of its value (trading past 1,000,000 IRR/USD)
- Despite ongoing regional conflicts and the cost of war with Iran, Israel's broader economy is projected to grow by the IMF, supported by a high-tech sector that accounts for nearly a fifth of its GDP and adapts well to remote work. Israel's total GDP remains significantly larger (estimated well over $500 billion) compared to Iran's depressed scale
Unasahau kuwa Wayahudi ndio wanaoongoza kuua raia wasio na hatia!?ndiyo mauaji ya raia wasio na hatia hayawezi kusahaulika, na mnaofurahia hiyo raha/thrill ya kuua raia ni furaha yenu ya milele, lakini USA na ISRAEL wanasonga mbele ktk nyanja zote kuliko maadui zao combined, maadui bado wako kwenye ujima wa kujitoa mhanga ili kuua raia
Hao activist wa kulipwa ndio uje ulete habari zao hapa!?Islamists wameiharibu sana Iran
View attachment 3690850
Iran wao walipata hasara ya Dola million ngapi?Israel iliumia zaidi kwenye vita kuliko Iran. Usilete data za upande mmoja. Na hiyo Israel kama isingekua financial back up ya Marekani basi ingeshaanguka kiuchumi muda sana.
Kaya 10000 na zaidi ziliharibika. Tel Aviv peke yake ilirekodi hasara ya zaidi ya $ 20 billions. Hujagusa Haifa refinery plant,hujagusa Eilat port,hujagusa Haifa port. Hujagusa millitary complex za Galilaya.
We unafikiri kwanini Netanyahu alililia ceasefire!??