Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli.

Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes

Public rallies are set to take place across Iran on Friday following weekly prayers, despite ongoing Israeli military attacks, Fars News, a media outlet affiliated with the Islamic Revolutionary Guard Corps, reported.

The event, called the “Friday of Rage and Victory,” is meant to show unity and defiance in response to Israeli strikes, Fars said.
 
maandamano ya kulazimishwa na serikali ila yakupinga mwenendo wa serikali irani ni kosa kama kudai haki yako
 
Nafkiri hawapasi kufanya mkusanyiko wa aina hiyo wakati vita inaendelea wanaweza kuwa targeted

Ushindi bado sana Iran wanapaswa kupiga kazi sasa au zaidi ya sana wiki hizi mbili mana Trump amesema atatoa jibu baada ya 2 weeks kama atajitupa uwanjani na yeye au la na akasisitiza kwamba Iran hapaswi kuwa na silaha za nuclear.

Muda huu Iran ajipigie zake tu, hospitali sijuwi nini vipondo visisimame ata dakika 1
 
Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa . Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli, . Soma Kwa kimombo hapo chini
4 minutes ago
Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes

Public rallies are set to take place across Iran on Friday following weekly prayers, despite ongoing Israeli military attacks, Fars News, a media outlet affiliated with the Islamic Revolutionary Guard Corps, reported.

The event, called the “Friday of Rage and Victory,” is meant to show unity and defiance in response to Israeli strikes, Fars said.
Halafu wakishaandamana?
 
Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli.

Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes

Public rallies are set to take place across Iran on Friday following weekly prayers, despite ongoing Israeli military attacks, Fars News, a media outlet affiliated with the Islamic Revolutionary Guard Corps, reported.

The event, called the “Friday of Rage and Victory,” is meant to show unity and defiance in response to Israeli strikes, Fars said.
Israel muungwana sana, ingekuwa kwingine, hao wangekutana na mabomu ya kuzamisha meli.
 
Back
Top Bottom