Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Halafu wakishaandamana?Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa . Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli, . Soma Kwa kimombo hapo chini
4 minutes ago
Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes
Public rallies are set to take place across Iran on Friday following weekly prayers, despite ongoing Israeli military attacks, Fars News, a media outlet affiliated with the Islamic Revolutionary Guard Corps, reported.
The event, called the “Friday of Rage and Victory,” is meant to show unity and defiance in response to Israeli strikes, Fars said.
Hata marekani ukiandamana kiboya unakula kisagomaandamano ya kulazimishwa na serikali ila yakupinga mwenendo wa serikali irani ni kosa kama kudai haki yako
Israel muungwana sana, ingekuwa kwingine, hao wangekutana na mabomu ya kuzamisha meli.Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli.