Iran Infinity Jihad

Iran Infinity Jihad

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,334
Reaction score
2,463
Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.

Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize.

Baada ya Irani kumalizana na Israel, mnafikiri atatulia kwa amani?

Kama jibu lako ni Ndiyo, basi inabidi ubadilishe mtazamo wako kutokana na point zifatazo.

Katika historia ya mwanadamu Maamuzi yaliyofanyika kwa chuki siku zote hayaleti amani ya kudumu, mfano mzuri wa kujifunza fuatilia matukio yaliyofanywa na serikali ya kikomunist ya Soviet. Pale tu Irani itakapomalizana na Israel itaanza kushughulikia watu wa dini nyingine tofauti na waislam wanaoishi uarabuni, wakimaliza hapo watahamia kwa waislamu ambao wao wanaona hawafwati ipasavyo dini kama ilivyoelezwa na mtume, wakimaliza hapo wana kazi ya kusafisha waislam ambao ni Sunni.

Irani ni taifa lililoamua kuishi kwa misingi ya chuki na visasi kitu ambacho kipo tofauti kabisa na mafundisho ya msingi ya dini za kiislam na kikristo. Sasa waislam wa Sunni mnafikiri mpo salama, mkumbuke hapo zamani katika vita za wenyewe kwa wenyewe mliuwa kiongozi wa Shia Ali Ibn Abi Talib kifo ambacho hawajasahahu. Hivyo watahitaji kubomoa uongozi wenu kama malipizi, kwani Iran inaamini yenyewe ndiyo kiongozi wa dini ya Uislam na sio Saudia.

Hii vita visivyoisha vinavyoendekezwa na Irani ni chukizo kwa binadamu yoyote aliye timamu. Uhalisia unaonyesha matokeo mabaya pale watu wenye itikadi kali ya Uislam wanapotaka misingi yao ifwatwe, tulishuhudia kule Kibiti jinsi mashehe walivyo uliwa kikatili kisa tu kutokukubaliana na itikadi kali. Sasa kama wewe unakuwa muislam wa kweli kipindi cha Ramadhani tuu, inabidi ujitafakari kama kweli utaweza endana na mifumo asili ya dini yenu, la sivyo utapondwa bichwa hilo kwa mawe na Waislam wenzako.
 
Tumuombe sana Mungu atuepushe na chuki za kidini.
Tuishi kwa amani na upendo!!
Vita sio suluhisho sahihi katika kutatua migogoro.
Inabidi tukubaliane kuwa katika ulimwengu huu Kuna watu wa dini tofauti na wengine hawana dini!!
Amani na upendo ndio silaha kubwa!!!!
 
Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.

Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize.

Baada ya Irani kumalizana na Israel, mnafikiri atatulia kwa amani?

Kama jibu lako ni Ndiyo, basi inabidi ubadilishe mtazamo wako kutokana na point zifatazo.

Katika historia ya mwanadamu Maamuzi yaliyofanyika kwa chuki siku zote hayaleti amani ya kudumu, mfano mzuri wa kujifunza fuatilia matukio yaliyofanywa na serikali ya kikomunist ya Soviet. Pale tu Irani itakapomalizana na Israel itaanza kushughulikia watu wa dini nyingine tofauti na waislam wanaoishi uarabuni, wakimaliza hapo watahamia kwa waislamu ambao wao wanaona hawafwati ipasavyo dini kama ilivyoelezwa na mtume, wakimaliza hapo wana kazi ya kusafisha waislam ambao ni Sunni.

Irani ni taifa lililoamua kuishi kwa misingi ya chuki na visasi kitu ambacho kipo tofauti kabisa na mafundisho ya msingi ya dini za kiislam na kikristo. Sasa waislam wa Sunni mnafikiri mpo salama, mkumbuke hapo zamani katika vita za wenyewe kwa wenyewe mliuwa kiongozi wa Shia Ali Ibn Abi Talib kifo ambacho hawajasahahu. Hivyo watahitaji kubomoa uongozi wenu kama malipizi, kwani Iran inaamini yenyewe ndiyo kiongozi wa dini ya Uislam na sio Saudia.

Hii vita visivyoisha vinavyoendekezwa na Irani ni chukizo kwa binadamu yoyote aliye timamu. Uhalisia unaonyesha matokeo mabaya pale watu wenye itikadi kali ya Uislam wanapotaka misingi yao ifwatwe, tulishuhudia kule Kibiti jinsi mashehe walivyo uliwa kikatili kisa tu kutokukubaliana na itikadi kali. Sasa kama wewe unakuwa muislam wa kweli kipindi cha Ramadhani tuu, inabidi ujitafakari kama kweli utaweza endana na mifumo asili ya dini yenu, la sivyo utapondwa bichwa hilo kwa mawe na Waislam wenzako.
ila stori yako haina balance kulingana na ulimwengu unavyoendelea kwa sasa
 
Leo Biden ameulizwa swali kuhusu Iran kuishambulia Israel ametowa jibu moja tu "Don't".

Sasa Waislamu kote duniani waambieni Iran mapema, hatutaki kuona maandamano baadaye ya Free Iran Mmarekani atakapoanza kuitia adabu Iran huku Israel ikiigeuza majivu Tehran.

Israel imeshaweka wazi imejiandaa kujilinda na kushambulia.

Waislamu muda wenu ni huu wa kuinusuru Iran, hatutaki kusikia kelele baadaye.
 
Iran anajua hii vita itapelekea Kwa utawala wake kuanguka kumbuka ndani ya Iran kuna makundi ya Sunni wanapigana kuondoa utawala wa Shia.
Madhara ya vita yatakuwa mabaya Sana Kwa Iran kuliko faida
 
Ayatollah kawekewa mtego anasubiliwa ajae tu wamle kichwa.
 
Irani anatafutwa kwa udi na uvumba. Naye amejua kuwa anatafutwa. Lakini mwisho wa siku lazima apigwe. Maana kama hataki kujaa basi watamjaziliza. Turejee kisa cha Sadam Husein, Gadafi nk..
 
Hakuna anaehitaji vita iwe Israel ama Iran kwasasa.
Ni ngumu kudhani kuwa Israel inahitaji kuanzisha Vita na Iran kwasasa wakati ambao wanavita nyingne na hamas. Iran nae hawezi thubutu kuishambulia Israel direct maana kufanya hivyo itakuwa ni mwanzo wa anguko la Utawala wao.
Is more likely kuwa iran itajibu lakini si kwa njia ya makabiliano moja kwa moja na Israel.
Proxy war Inatija zaidi kwa Iran na sio direct War.
 
Tatizo uislamu wenyewe umebuniwa na muarabu juzi, miaka 500 baada ya Yesu, huyo muarabu akaanza kwa kuchinja na kulazimisha watu hiyo dini yake, hivyo hiyo waliyomwaga tangu uasisi wa hiyo dini ndio unawatafuna hadi leo.
 
Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.

Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize.

Baada ya Irani kumalizana na Israel, mnafikiri atatulia kwa amani?

Kama jibu lako ni Ndiyo, basi inabidi ubadilishe mtazamo wako kutokana na point zifatazo.

Katika historia ya mwanadamu Maamuzi yaliyofanyika kwa chuki siku zote hayaleti amani ya kudumu, mfano mzuri wa kujifunza fuatilia matukio yaliyofanywa na serikali ya kikomunist ya Soviet. Pale tu Irani itakapomalizana na Israel itaanza kushughulikia watu wa dini nyingine tofauti na waislam wanaoishi uarabuni, wakimaliza hapo watahamia kwa waislamu ambao wao wanaona hawafwati ipasavyo dini kama ilivyoelezwa na mtume, wakimaliza hapo wana kazi ya kusafisha waislam ambao ni Sunni.

Irani ni taifa lililoamua kuishi kwa misingi ya chuki na visasi kitu ambacho kipo tofauti kabisa na mafundisho ya msingi ya dini za kiislam na kikristo. Sasa waislam wa Sunni mnafikiri mpo salama, mkumbuke hapo zamani katika vita za wenyewe kwa wenyewe mliuwa kiongozi wa Shia Ali Ibn Abi Talib kifo ambacho hawajasahahu. Hivyo watahitaji kubomoa uongozi wenu kama malipizi, kwani Iran inaamini yenyewe ndiyo kiongozi wa dini ya Uislam na sio Saudia.

Hii vita visivyoisha vinavyoendekezwa na Irani ni chukizo kwa binadamu yoyote aliye timamu. Uhalisia unaonyesha matokeo mabaya pale watu wenye itikadi kali ya Uislam wanapotaka misingi yao ifwatwe, tulishuhudia kule Kibiti jinsi mashehe walivyo uliwa kikatili kisa tu kutokukubaliana na itikadi kali. Sasa kama wewe unakuwa muislam wa kweli kipindi cha Ramadhani tuu, inabidi ujitafakari kama kweli utaweza endana na mifumo asili ya dini yenu, la sivyo utapondwa bichwa hilo kwa mawe na Waislam wenzako.
Lakin Shia ndio waislam ambao hawana shida na mtu kuliko Suni
 
Ungesema Iran taifa la kishia, na wasuni wengi wanaamini washia sio waislam. labda watueleze wenyewe hapa.
 
Mkuu, Shetani huwa ni mwislamu,kwa hiyo huwezi kuutenga Uislamu na Shetani
 
Sijui Kwa Nini hamuelezwi ukweli.
Hosea 9:5.
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya Bwana?

Uislamu haujatajwa popote kwenye Biblia.
Ujio wa Kristo umetajwa kote kwenye agano la kale, ila mohammed na dini yake hawakutajwa popote, kaibuka huko jangwani na mapepo yake na kuandika kitabu na kusema dini yake ndio ya kweli, tena miaka 500 baada ya Kristo.
 
Sijui Kwa Nini hamuelezwi ukweli.
Hosea 9:5.
Mtafanya nini katika siku ya mkutano wa idi, na katika siku ya karamu ya Bwana?

Hosea 9:5

King James Version

5 What will ye do in the solemn day, and in the day of the feast of the Lord?

Mbona kwenye Kiingereza neno Eid halionekani? Naomba unisaidie kuelewa hiyo tafsiri ya kiswahili
 
Back
Top Bottom