bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.
Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize.
Baada ya Irani kumalizana na Israel, mnafikiri atatulia kwa amani?
Kama jibu lako ni Ndiyo, basi inabidi ubadilishe mtazamo wako kutokana na point zifatazo.
Katika historia ya mwanadamu Maamuzi yaliyofanyika kwa chuki siku zote hayaleti amani ya kudumu, mfano mzuri wa kujifunza fuatilia matukio yaliyofanywa na serikali ya kikomunist ya Soviet. Pale tu Irani itakapomalizana na Israel itaanza kushughulikia watu wa dini nyingine tofauti na waislam wanaoishi uarabuni, wakimaliza hapo watahamia kwa waislamu ambao wao wanaona hawafwati ipasavyo dini kama ilivyoelezwa na mtume, wakimaliza hapo wana kazi ya kusafisha waislam ambao ni Sunni.
Irani ni taifa lililoamua kuishi kwa misingi ya chuki na visasi kitu ambacho kipo tofauti kabisa na mafundisho ya msingi ya dini za kiislam na kikristo. Sasa waislam wa Sunni mnafikiri mpo salama, mkumbuke hapo zamani katika vita za wenyewe kwa wenyewe mliuwa kiongozi wa Shia Ali Ibn Abi Talib kifo ambacho hawajasahahu. Hivyo watahitaji kubomoa uongozi wenu kama malipizi, kwani Iran inaamini yenyewe ndiyo kiongozi wa dini ya Uislam na sio Saudia.
Hii vita visivyoisha vinavyoendekezwa na Irani ni chukizo kwa binadamu yoyote aliye timamu. Uhalisia unaonyesha matokeo mabaya pale watu wenye itikadi kali ya Uislam wanapotaka misingi yao ifwatwe, tulishuhudia kule Kibiti jinsi mashehe walivyo uliwa kikatili kisa tu kutokukubaliana na itikadi kali. Sasa kama wewe unakuwa muislam wa kweli kipindi cha Ramadhani tuu, inabidi ujitafakari kama kweli utaweza endana na mifumo asili ya dini yenu, la sivyo utapondwa bichwa hilo kwa mawe na Waislam wenzako.