Iran: Interest za Marekani zitashambuliwa kwa kusapoti ugaidi wa Israel

Iran: Interest za Marekani zitashambuliwa kwa kusapoti ugaidi wa Israel

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12 kuzuia makombora ya Irani na Washirika wake, mara Iran itajibu ndani ya saa 72 ...vilio vyote hivyo anatoa Marekani na hili ndio jibu alilopewa.

==========

Iran's recent warning to the U.S. underscores escalating tensions in the region. Tehran has signaled that American forces and interests will be targeted if the U.S. supports an Israeli attack. The risk of a broader conflict involving Iran, Israel, and Hezbollah is growing, with high stakes for all involved.

IMG_20240801_113324.png
 
Kapigwa raisi wao! Je, ni kisasi Gani Cha mfano walicholipa kulingana na uzito huo?
 
Vita lazima vitokee kwa mazingira ambayo Iran ametengeneza Israel kwa kutumia vikundi vya kigaidi Hezibolah, Houth, Hamas kuipiga Israel na kila kila siku kumtishia Israel, hakuna namna Vita ni suala la muda tu ili heshima iwepo.
 
Marekani dawa ya magaidi ni kuwapa dozi kama ya Mrusi huko Chechnya la sivyo watawasumbua sana, wakishambulia maslahi yao na wao wasichague warudishe majibu wakalie ICC la sivyo watawasumbua sana
 
Iran ni taifa linaloongozwa na wajinga, hawa wana support ugaidi bila kificho, hao magaidi wanao wa support wanashambulia Israel halafu Iran kwa ujinga wao wanataka waachwe tu!.

Tena wana bahati myahudi yuko serious kuwatafuta adui zake individually, vinginevyo siku myahudi akiamua kutembea na ule msemo vita haina macho, hao Iran watajuta kuzaliwa.

Naamini Iran hawezi kuishambulia Israel, anazopiga ni kelele tu, kama hata kujilinda mwenyewe huwezi unataka vita ya nini? ndio maana nawaona hawana akili.
 
Iran ajicommit kupigana na Israel pekee.

Akianza tena kumchokoza Marekani, anajitafutia kipigo kitakatifu. Atapigwa mpaka achakae. Na Allah hatatokea kuwasapoti watu wapumbavu.
Iran amedhamiria kuonesha ubabe wake hapo Middle East.
Let’s wait and see
 
Iran amedhamiria kuonesha ubabe wake hapo Middle East.
Let’s wait and see
Iran hana ubabe wowote zaidi ya mikwara/mchingasaundi.Kama wapo serious kweli walianzishe noma.Wawe kama mkurya akisema "nakughecha"/kukukata na panga na kweli linakuwa limetua mwilini kabla ya neno "cha" kumalizika utamkwaji.
 
Iran ni taifa linaloongozwa na wajinga, hawa wana support ugaidi bila kificho, hao magaidi wanao wa support wanashambulia Israel halafu Iran kwa ujinga wao wanataka waachwe tu!.

Tena wana bahati myahudi yuko serious kuwatafuta adui zake individually, vinginevyo siku myahudi akiamua kutembea na ule msemo vita haina macho, hao Iran watajuta kuzaliwa.

Naamini Iran hawezi kuishambulia Israel, anazopiga ni kelele tu, kama hata kujilinda mwenyewe huwezi unataka vita ya nini? ndio maana nawaona hawana akili.
hifadhi hii komenti.ukipata jibu unistue
 
Back
Top Bottom