Iran: Interest za Marekani zitashambuliwa kwa kusapoti ugaidi wa Israel

Iran: Interest za Marekani zitashambuliwa kwa kusapoti ugaidi wa Israel

Kapigwa raisi wao! Je, ni kisasi Gani Cha mfano walicholipa kulingana na uzito huo?
Acha ushabik mandazi .yule kafa kwa ajali na hakuna hata habari inayosema Israel kausika.ila nyie wachambuz wa bongo ndio hamtaki kuamin kuna ajali
 
Kila mchuma janga hula na wakwao. Walisema Haneyal yupo Iraq Sasa makazi yake Tehran nani alikuwa anagharamia. Irani ndiyo wafadhiri wa ugaidi baada ya Gadafi Sasa nao wajitafakari soon wataelewa maana ya kuishi kwa amani
Gaidi ni USA na Israel.
Amani ya mashariki ya kati amevunja USA pamoja na Israel.
Kafuatilie hilo ili upunguze kuropoka.
 
Hawa Pro Ugaidi tushawachoka na tambo

Kubalini kataeni Iran anataka proxy war na Israel na kikubwa tu kushinda sphere of influence kwenye Ulimwengu wa Arabs

Kama kweli anataka vita kwanini lazima afanye alert na maelezo kibao kwenye Vikao vya UN

Wakati mwenzie anagonga sawasawa tena kwa Viongozi wakuu wa nchi yaani ni dharau ya Hali ya Juu

Iran anajitutumua lakini vita kashashindwa
 
Back
Top Bottom