Hawa Pro Ugaidi tushawachoka na tambo
Kubalini kataeni Iran anataka proxy war na Israel na kikubwa tu kushinda sphere of influence kwenye Ulimwengu wa Arabs
Kama kweli anataka vita kwanini lazima afanye alert na maelezo kibao kwenye Vikao vya UN
Wakati mwenzie anagonga sawasawa tena kwa Viongozi wakuu wa nchi yaani ni dharau ya Hali ya Juu
Iran anajitutumua lakini vita kashashindwa