Iran: Kikosi cha kidini chavunjiliwa mbali, na pia sheria kandamizi za kidini kuondolewa

IRAN TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jamii yoyote ambayo inaishi bila sheria, kanuni na maadili.
Hata hizi nchi liberal wanasheria zao na mipaka yao. Iran imepambana na mabeberu na imetunga sheria zake kutokana na matakwa ya wengi.
Hizi ni njama za nchi beberu kudhoofisha uchumi wa Iran kwa visingizio zozote. Hizi uchafuzi ni baadhi tu ya vijana wanakufuru na neema waliyojaliwa nayo.
Tazama Libya ilivyokuwa zamani na sasa, wazungu wamebomoa nchi na wao kujitoa polepole wakiwa acha wananchi na shida tele wasiyoijua kabisa.
 

Hamnaa bana, hizo sheria za kijinga za kuua wanawake kisa nywele zimechomoza, watu wa ajabu sana yaani nywele za mwanamke zinawapa minyege.
 
He! Niwakumbushe, TZ,ZNZ miaka ya 70's ilikuwa marufuku wanawake kuvaa nguo fupi na wanaume kuvaa suruali za "bell bottom". Suruali ambayo chini kwenye miguu imetanuka kuendana na fashion ya miaka hiyo
 
He! Niwakumbushe, TZ,ZNZ miaka ya 70's ilikuwa marufuku wanawake kuvaa nguo fupi na wanaume kuvaa suruali za "bell bottom". Suruali ambayo chini kwenye miguu imetanuka kuendana na fashion ya miaka hiyo

Baadaye wakashtuka, sheria za hovyo hizo.
 
Na NGAMIA

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
Onyesha andiko lililokataza kula ngamia hila kwenye bibble verse ipo hyo hapo Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…