Iran kuishambulia Marekani

Iran kuishambulia Marekani

Wanajitekenya na kucheka wenyewe hawa.
 
Mbona Iran naona wanaanza mambo zile zile za Iraq na Sadam yake.. maana Sadam alitoa mikwara mahususi.. had wakat anachapika yule waziri wake mzee wa propaganda ala- Sahaf a.k.a "Bagdad Bob" or "comical Ally" akawa anatoa update kuwa marekan wanajesh wake wanachapika batalion kwa batalion..

Had jamaa wanaingia bagdad bado jamaa anatuaminisha kuwa Iraq anashinda vita.

Ndo haya nayaona anayofanya Iraq

Njia pekee ya Iraq kumpiga US na washrika wake ni kupitia Vita ya 3 ya dunia.. yaan awaconvice nchi zaid ya 3 waingie vitan nae.. kitu ambacho si china wala Urusi wako tayar kuingia vitan kwa eti sababu tu mshirika wa kibiashara katangaza kuipiga nchi flan

Zama hizi sio zile za medival .. mataifa yote yamekuwa opprtunist watakusuport ili wakuuzie silaha au kukuingiza kwenye tegemezi.. hata Wanajeshi watakuletea kwa kificho ila never kutangaza huku wakisema una haki ya kujilinda.. ila kamwe hawatatangaza vita na Nchi ingine.. ndo maana Europe na US wameanzisha nato.. maana yake kuna wanajeshi au vifaa au fedha zitapelekwa mmoja wao akivamia na hivyo vita itapiganwa kisiasa kwanza.. rejea alichofanyiwa libya.. au alichofanyiwa.. Nato kaingiza majeshi ila official hakuna hata Nchi mmoja iliotanga vita na Libya.. ingawa Europe nzima ilimshukia..
Utaona kuwa hawatak mambo ya WW2 kuwa ww vamia kule mie nivamie huku

Iran kama kaambiwa na Urusi na China watamuunga mkono.. kwanza watengeneze "NATO" yao.. kisha kila nchi itengeneze base mahsusi ya "NATO" na kuwa na wanajesh na vifaa maalum wawe assigned kwa ajili ya hilo shirikisho.. habar za we lianzishe tutakuunga mkono, ndo mambo ya kupewa tu msaada wa silaha tu, kupewa silaha haitoshi kama inch yake inageuzwa jangwa. Angalia Syria ilivyokuwa sasa hv. Na hapo Urusi kMsaidia sababu ana maslah nae.. sio kwamba anampeda sana
 
Iran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Hata mm naona kabisa, sababu vikundi vyote vya kigaidi viko tayari kuingia vitani kupigana, hii ni mbaya sana kwa Israel, naona inaenda kufutwa kwenye ramani ya dunia
 
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.

Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.

Vyombo mbalimbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni Urusi, China na North Korea.

Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran.

Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Iran hategemei mtu wacheni story siku nyingi sana Iran wanasema US hawezi kuingia vita direct na Iran sababu maslaha yake yote pale Middle East yatavurugwa vibaya.

Israel ataishia kubweka tu hana uwezo wa kupigana na Iran bila kusaidiwa na US na Europe na hizo nchi haziwezi kuhatarisha maslaha yao kwa ajili ya yule kenge wa Israel.
 
Wairan wana vituko sana.Kwa hiyo wataichakaza USA?
We akili zako unadhani vile, kwa tarifa yako Iran base zote za US anazifikia. Unajua kuna askari wangapi wapo hizi nchi tatu wacha zingine. Saud Arabia, Qatar na UAE kaulize kuna askari wangapi?
 
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.

Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.

Vyombo mbalimbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni Urusi, China na North Korea.

Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran.

Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
ngoja tuone kama iran ina uwezo kupigana na israel na NATO yote. wala asijidanganye.
 
ngoja tuone kama iran ina uwezo kupigana na israel na NATO yote. wala asijidanganye.
Nato ni nani wewe au US huwezi kushindana na Mtu yuko kwenye ardhi yake bila kupata support ya Saud Arabia na jiran zake. Saud Arabia hawezi kuhatarisha maisha yake kwa moto wa Iran. Kwa kutumia hizo carries ndio hawamuwezi kabisa Iran sababu atazizamisha zote
 
Nawapenda IRan kwa itikadi zao na kutopenda kuonewa ila kwa hili sasa hata mimi mwenyewe wamenishangaza.
 

Hii Ndio inatua Washington's....Kazi kweli kweli.......Tuzidi kuomba Aman...
 
Nato ni nani wewe au US huwezi kushindana na Mtu yuko kwenye ardhi yake bila kupata support ya Saud Arabia na jiran zake. Saud Arabia hawezi kuhatarisha maisha yake kwa moto wa Iran. Kwa kutumia hizo carries ndio hawamuwezi kabisa Iran sababu atazizamisha zote
kobaz acha kujifariji. huyo iran unayemsifia, juzi alipiga simu kwa marekani kuomba pooo simu haikupokelewa, akakimbia mbio hadi Qatar kuwaomba waongee na Marekani manake yeye simu hazipokelewi. hawajaishia hapo, wametuma ujume India, kwamba kwasababi India ni rafisi wa Israel (wa india ni rafiki kwa mbali wa Iran kwasababu ya uadui wa india na pakistan) kwamba india iongee na israel ili wasiwapige. wameishia tu vitisho kwamba wakipigwa watapiga pakubwa. ila wanajilaumu kwa nini walirusha zile. why? kwa sababu Israel anachofanya ni kupanga zana za ulinzi kudaka mabom yaani amepewa muda wa kuweka mambo yake sawa alafu anapiga.

atapiga wapi? mpango wa kwanza ni kupiga kituo cha nuclear enrichment ambacho kwa miaka mingi mno Iran wamekuwa wakikijenga, kupiga kisiwa cha uzalishaji mafuta ambacho leo hii Iran wameonekana wakiondoa baadhi ya mitambo, na kupiga kituo cha kuzalisha umeme. maeneo hayo yakipigwa, iran imerudishwa nyuma miaka rundo kiuchumi na itashindwa kuendesha nchi. tangu juzi wananchi wa iran wamejaa ATM kuchukua pesa na kuzibadilisha kuwa dola ya kimarekani in anticipation ya kukimbia nchi iwe rahisi wakiwa wakimbizi, ATM hazina pesa huko iran. shughuli za kiuchumi haziendi kwa amani na uchumi unashuka, ndio maana kamaumesikiliza hotuba ya ayatolah leo amesema "adui anapigana nasi vita ya kiuchumi, kisaikolojia na kimwili". trauma wanayoishi nayo huko haina mfano na hasa kwasababu marekani ameiruhusu Israel kupiga jambo ambalo miezi ya nyuma hakufanya.

Marekani ina vituo vya kijeshi kuzunguka iran yote, saudia na nchi za kiarabu zinategemeana na Marekani sana, watampa anga. huwa wanadanganya kwamba hawatampa anga ili iran ajisahau halafu wanampa, kwasababu ni maadui wa iran washia. vita ikianza, jua UK, ufaransa, Ujerumani na nchi zingine zitaingia pia. UK kwa sasa wana zana za kutungua rocket za mionzi (razor) ambazo wanampango au inawezekana washazipeleka Israel.

kwa kifupi, tuombe Mungu Israel asipige vibaya, au hata akipiga iran ichuchumae kimyaa ili vita isiendelee kwasababu watakaoumia ni waafrica, maisha yatapanda sana. na kama haujui, kuna uwezekano mkubwa hata jordan na waarabu waliambiwa waziache tu hizo rocket karusha juzi zidondoke israel kwasababu marekani na israel walikuwa na bado wanatamani sana iran aingie kwenye vita kubwa ili waisambaratishe kabisa kabisa.

hifadhi huu uzi, kuna siku utaurudia kujikumbusha wakati iran itakuwa iraq ya sasa.
 
Israel tu kamgeuza shamba la bibi, kashavuna viongozi wa juu wa Iran na wanasayansi wake kibao.

Iran kaishia kurusha mabomu bila kusababisha madhara makubwa kwa wahusika, sasa atamuweza USA mfupa uliomshinda fisi kuutafuna?.

Aache maigizo ya futuhi asubiri Yahood kuendeleza alipoishia
Iran lengo lake si kuuwa watu, vita ni science wao walikusudia kambi za kijeshi na viwanja vya ndege kudhoofisha military ya power ya israel na washirika wake, wewe hujuwi lolote, wajinga ndio huuwa watu wasio na hatia
 
Back
Top Bottom