"Tumia akili" hiyo phrase ya mwisho ni kama unataka uonekane ni genius sana humu ndani, toa hoja acha maneno ya kashfa.
Kwani Ethiopia ilikuwa ni taifa kubwa kuliko Italy kipindi waliposhinda vita dhidi ya Italy? Ndio kama hiyo Vietnam,.
Italy ilikuwa ni nchi strong kuliko Italy na bado walipigwa na Ethiopia kwenye vita. Pia, Marekani ilikuwa ni strong kuliko Vietnam na bado walipigwa na Vietnam.
Leo hii Italy ikipigana na Ethiopia lazima Italy ishinde, ndio kama hiyo Marekani ikipigana na Vietnam leo hii lazima Marekani ishinde.
Kuna historia na kuna wakati wa sasa, ni vitu viwili tofauti. Sasahivi gap la kiteknolojia ya vita kati ya hayo mataifa makubwa na madogo limeongezeka sana. Sasahivi Marekani imeiacha mbali sana Vietnam kivita kuliko jinsi ilivyoiacha Vietnam kwa miaka hiyo. Vietnam ikipigana na Marekani leo, watalia kilio cha kusaga meno. Acha wabaki hivyo hivyo