Iran kuishambulia Marekani

Iran kuishambulia Marekani

Ikitajwa North Korea tu shoga mkuu wenu USA ana kimbia mafichoni
Huyo north Korea sio kwamba marekani hana uwezo wa ku-deal nae, ni kwamba huyo jamaa ni chizi, sikuzote anatafuta ugomvi na marekani kama vile anamuweza kumbe wapi, nuclear inampa kiburi, nchi yenyew ndogo kuliko hata states za marekani, ni vile tuu marekani hataki kuingia nae kweny vita kwasababu anajua jamaa hana cha kupoteza, atatumia nuclear muda wowote.
 
Marekani ilipigwa Vietnam
Tatizo lenu ni utoto hivyo hamjui mengi kuhusu Marekani
Hata Ethiopia walishawahi kuwashinda Italy kwenye vita. Wewe unadhani Italy ikipigana na Ethiopia 2024, kwamba Ethiopia itashinda tena?
Hao Vietnam wamguse Mmarekani sahivi waone moto wake
 
Marekani iliyo shindwa na Vietnam ilikuwa kama Italy ya sasa ipigane na burundi ya sasa na burundi ishinde vita au ilikuwa kama Italy ya sasa ipigane na hiyo Ethiopia kisha Italy ishidwe vita...au unataka kusema Vietnam ya miaka hiyo ilikuwa strong nation kuliko marekani tumia akili
 
"Tumia akili" hiyo phrase ya mwisho ni kama unataka uonekane ni genius sana humu ndani, toa hoja acha maneno ya kashfa.

Kwani Ethiopia ilikuwa ni taifa kubwa kuliko Italy kipindi waliposhinda vita dhidi ya Italy? Ndio kama hiyo Vietnam,.
Italy ilikuwa ni nchi strong kuliko Italy na bado walipigwa na Ethiopia kwenye vita. Pia, Marekani ilikuwa ni strong kuliko Vietnam na bado walipigwa na Vietnam.
Leo hii Italy ikipigana na Ethiopia lazima Italy ishinde, ndio kama hiyo Marekani ikipigana na Vietnam leo hii lazima Marekani ishinde.
Kuna historia na kuna wakati wa sasa, ni vitu viwili tofauti. Sasahivi gap la kiteknolojia ya vita kati ya hayo mataifa makubwa na madogo limeongezeka sana. Sasahivi Marekani imeiacha mbali sana Vietnam kivita kuliko jinsi ilivyoiacha Vietnam kwa miaka hiyo. Vietnam ikipigana na Marekani leo, watalia kilio cha kusaga meno. Acha wabaki hivyo hivyo
 
Marekani kuzishinda nchi za jamii ya kichina ni ndoto hata marekani inajua vizuri jambo hilo ndiyo maana Marekani kamtengenezea kiduku adui mwenye kufanana naye ...kumbuka hata japani kama siyo bomu.la nuclea marekani asinge shinda vita ...sijui.hata kama unajua kwanini marekani alitumia bomu la nuclear japan ? Lengo ilikuwa ni kuithibiti urussi maana marekani alijua kuwa murusi nanakwenda kuishinda japani na kuitwaa hivyo njia pekee ni kutumia nuke ili japani iwe mikononi mwa marekani.
 
Sasa hayo yote yanahusiana vipi na Marekani kumshinda Vietnam?
 
Tumia akili kama nchi ya korea ya kiduku ikipakana na marekani basi marekani angepigwa vibaya sana ...marekani anategemea umbali baina yake na adui yake siku zote anapo taka kuchokoza taifa lolote. Unajua kwa nini ?kama marekani leo akipigana vita na urusi tena wote wasitumie silaha za nuke basi marekani itspigwa vibaya sana
 
Tumia akili this, tumia akili that... Mwisho wa siku unazitaja Korea na Russia, nchi ambazo zote mbili sio hata Vietnam.
Nje kabisa ya mada! Siwezi jibu upuuzi
 
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.

Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.

Vyombo mbalimbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni Urusi, China na North Korea.

Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran.

Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Hivi Walishaishambulia?
 
Mrusi wa Mchambawima.....nimecheka sana.....🤣🤣🤣🤣🤣nyie jamaa sijui baba yenu mmoja?
 
Kwenye vita Kila kitu kinaweza tokea,it took 20 yrs for U.S to fight Taliban and last handling military devices to its enemy🤣😀😀😀
Ukiacha dollar ya marekani kama political na military weapon sion cha maana kikubwa anachoweza kuwazidi wezanke kwa sasa maana kama ni ndege na kila nchi inazo ndenge
 
Leo nipo kuwasoma tu na kucheka....
 
ngoja tuone kama iran ina uwezo kupigana na israel na NATO yote. wala asijidanganye.
Vita ya ukrain imeshaamaliza,resilimaliza za hizo nchi si umeona ujeruma na ufaransa serikali zao zinakaribia kusambaratika
 
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.

Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.

Vyombo mbalimbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni Urusi, China na North Korea.

Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran.

Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Huyo Russia akashindwa kumsalimia Asad abaki madarakani, sahizi kamanda wake wameshamning'niza tena hadharani!
 
Mrusi wa Mchambawima.....nimecheka sana.....🤣🤣🤣🤣🤣nyie jamaa sijui baba yenu mmoja?
Shukuru mungu kwa kuongea na mtu GENIUS KAMA MIMI SIBAHATISHI NINACHO KUAMBIA NI UKWELI KWA ASILIMIA 100
 
Tumia akili this, tumia akili that... Mwisho wa siku unazitaja Korea na Russia, nchi ambazo zote mbili sio hata Vietnam.
Nje kabisa ya mada! Siwezi jibu upuuzi
Tumia akili wewe zuzu wa ccm hata kwenye vita ya pili ya dunia katika kila askari 20 wa ujerumani mrussi kaua 18 marekani na uingereza na ufaransana na nchi nyingine zote wamegawana hao askari wawili tu waliobaki ...kiufupi vitaya pili ya dunia mrusi ndiyo aliokoa dunia dhidi ya mjerumani
 
Back
Top Bottom