Wapo mazombi wengi tu watasema hivyo.Wasiokuwa na Akili timamu watakuambia mgogoro huu imesababishwa na marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo mazombi wengi tu watasema hivyo.Wasiokuwa na Akili timamu watakuambia mgogoro huu imesababishwa na marekani
West walimuua huyo binti?Western countries wanaunda internal conflicts kama walivyofanya kwa Misri na Libya ila ninaimani Iran watafanikiwa kudhibiti
Kwa hiyo US waliongea na huyu dada alieuawa asifunike kichwa chake ili askari wamuue, then US hao hao wakawaambia askari wamuue huyo Dada ili maandamano yalipuke?."USA 3-1 IRAN" dk ya 70 Iran wanajitahidi kuonyesha video ya mama alikuwa "afya mgogoro" maana alishawahi kudondoka ghafla airport!
Mbinu za Hawa jamaa USA na wenzake kuwadhoofisha wapinzani wao huwa ni zile zile miaka nenda miaka Rudi....
Iran tayari kameza ndoano...unaekewa vikwazo uchumi unavurugika, maisha ya wananchi yanakuwa magumu na wanajaa hasira, jambo dogo wanaingia barabarani (wakiwa wachache tu) CNN, Fox, nk wanaonyesha kuwa "nchi nzima" watu wameingia barabarani na Kuna "maandamano makubwa' kumbe sio na saa nyingine waandamanaji ni mamluki tu...matokeo Polisi na vyombo vya usalama vinaingilia kati ila CNN inaonyesha waandamanaji "wakiuawa na Polisi".... Nadhani mwana jf utaelewa kipi kitafuatia!
PopomaHizi ni akili za kijinga sana..wewe ndio wale hata mkeo akikongwa nje utasingiza westerners kuwa wamekutengenezea internal conflict.
Nchi nyingi tu duniani zina migogoro ya ndani sometimes ni wananchi wenyewe huchoka na upuuzi wa mambo ya nayofanyika nchini mwao na kuamua kupambana.
Huo ujinga western this western that ukutoke.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wewe unayejitoa ufahamu ndio hauna utimamu wa akili. Hivi unakataa kabisa tena mchana kweupe kuwa Marekani hahusiki hapo?!Wasiokuwa na Akili timamu watakuambia mgogoro huu imesababishwa na marekani
Naliona hilo, huo upuuzi wa kuminya haki za watu kwa mgongo wa dini unafikia kikomo muda si mrefu. Kwa Dunia hii iliyoelimika na kustaarabika hatuwezi kuendelea kushikilia haki za wengine na tukabaki salama.Hizi dini tunakoenda zitakuja kudharauliwa amini usiamini maana zingine zinasheria ngumu na za kinyanyasaji na wala si Mungu kaziweka ni watu walio shiba mihogo huko ndo waliziongeza kutoka kwenye mila zao sasa wanataka kila mtu azifuate
Akili fupi, wamuue mwananchi wao wenyewe, wananchi wafanye maandamano then lawama apewe Marekani!Hapa mabeberu wanahusika. Ni wa marekani hao wanachochea hiii migogoro.
Waajemi siyo waarabuHao waajemi hawana tofauti na waarabu wengine.
Duuu!!!!Ukute wewe ndiyo huna akili timamu..Arab spring ilikua kazi ya marekani,ikakwama Iran na syria
Potelea mbali naanza mimi ”pana mkono wa Mmarikan hapa”Wasiokuwa na Akili timamu watakuambia mgogoro huu imesababishwa na marekani
Kwa hiyo hao Western countries ndo waliomkamata huyo bint wakampiga kiasi cha kumvunja fuvu akiwa ndani ya Iran?Western countries wanaunda internal conflicts kama walivyofanya kwa Misri na Libya ila ninaimani Iran watafanikiwa kudhibiti
Ndio hao hao tabia na maisha yao.Waajemi siyo waarabu
Another.......mbi. hao polisi walimuua yule mwanamke ni wamarekani?Western countries wanaunda internal conflicts kama walivyofanya kwa Misri na Libya ila ninaimani Iran watafanikiwa kudhibiti
Kwani Arab spring ilianza vipi!?..mtu alijitia Moto Tunisia,marekani aka-capitalizeDuuu!!!!
Ina maana huyu dada ametumwa na marekani? Kwasababu shida sio kuachia nywele zake wazi shida ni POLISI kumpiga Hadi kufa,kama asingekufa kusingekuwa na maandamano sometimes tunamfanya marekani kama MUNGU wa dunia hii yaani kila kitu yeye ndiyo muhusika
Ni utaahira uliotopea kutafuta mchawi Kwa changamoto zinazoziksbili nchi husika , kila kitu western ,Huu ni mtindio WA ubongo kabisaHizi ni akili za kijinga sana..wewe ndio wale hata mkeo akikongwa nje utasingiza westerners kuwa wamekutengenezea internal conflict.
Nchi nyingi tu duniani zina migogoro ya ndani sometimes ni wananchi wenyewe huchoka na upuuzi wa mambo ya nayofanyika nchini mwao na kuamua kupambana.
Huo ujinga western this western that ukutoke.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mwisho wa dunia ni siku utakayokufa wewe...amka usingizini!!Kama ulishawahi kusikia dalili za mwisho wa dunia ndo hizi Sasa.
Watu watakaa kustaarabika
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
source?Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake.
Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka kutengeneza nyuklia, IQ zao haziruhusu kuwafungasha kwenye uzombi wa kidini.
![]()
==
A commander of a pro-government paramilitary force has been killed at the protests in Tehran since the death of Mahsa Amini.
Protesters set fire to police stations and cars at demonstrations that began after the death of Mahsa Amini
Protesters set fire to police stations and cars at demonstrations that began after the death of Mahsa Amini
The man headed a local branch of Basij, a paramilitary wing of the Islamic Revolutionary Guard Corps responsible for cracking down on dissent, and was stabbed to death in the northeastern city of Mashhad on Wednesday.
Tehran was the focus of protests but they have spread across the country and to Iranian consulates overseas
Tehran was the focus of protests but they have spread across the country and to Iranian consulates overseas
Another member of Basij, Abdolhossein Mojaddami, was shot dead by "rioters and gangs", according to local news agencies.
Protests began after the death of Ms Amini, 22, who was arrested in Tehran on Friday by the morality police who said that she was breaking strict dress codes for women. She died three days later.
Police have said that she had a heart attack and was taken to hospital, but her father has said that she had no health problems and blame the police for her death.
It has been reported that she was hit with batons and suffered a brain injury.
At protests across the country - and at Iranian consulates abroad - women burned their hijabs and cut off their hair. On Thursday police stations and vehicles were set alight during protests.
Several other people, including a 16-year-old boy and a 'police assistant', have also been killed since the protests began.
The Iranian government says it will investigate Ms Amini's death.