"USA 3-1 IRAN" dk ya 70 Iran wanajitahidi kuonyesha video ya mama alikuwa "afya mgogoro" maana alishawahi kudondoka ghafla airport!
Mbinu za Hawa jamaa USA na wenzake kuwadhoofisha wapinzani wao huwa ni zile zile miaka nenda miaka Rudi....
Iran tayari kameza ndoano...unaekewa vikwazo uchumi unavurugika, maisha ya wananchi yanakuwa magumu na wanajaa hasira, jambo dogo wanaingia barabarani (wakiwa wachache tu) CNN, Fox, nk wanaonyesha kuwa "nchi nzima" watu wameingia barabarani na Kuna "maandamano makubwa' kumbe sio na saa nyingine waandamanaji ni mamluki tu...matokeo Polisi na vyombo vya usalama vinaingilia kati ila CNN inaonyesha waandamanaji "wakiuawa na Polisi".... Nadhani mwana jf utaelewa kipi kitafuatia!