kuna vitu vingine vya kijinga chanzo ni polisi wa iran lawama kwa marekani ndo maana watu wanatukana kulingana na akili kama hiiWestern countries wanaunda internal conflicts kama walivyofanya kwa Misri na Libya ila ninaimani Iran watafanikiwa kudhibiti
Wewe unayejitoa ufahamu ndio hauna utimamu wa akili. Hivi unakataa kabisa tena mchana kweupe kuwa Marekani hahusiki hapo?!
Hao jamaa wasije wakasingizia ati ni torati ya Mussa imeagiza.Sheria za dini ku-run inchi ndo matokeo haya
Kwa hiyo western countries ndio waliomuua huyo binti. Yaani watu wengine akili ndogo sana.Western countries wanaunda internal conflicts kama walivyofanya kwa Misri na Libya ila ninaimani Iran watafanikiwa kudhibiti
kifo cha yule dada ni haki ?"USA 3-1 IRAN" dk ya 70 Iran wanajitahidi kuonyesha video ya mama alikuwa "afya mgogoro" maana alishawahi kudondoka ghafla airport!
Mbinu za Hawa jamaa USA na wenzake kuwadhoofisha wapinzani wao huwa ni zile zile miaka nenda miaka Rudi....
Iran tayari kameza ndoano...unaekewa vikwazo uchumi unavurugika, maisha ya wananchi yanakuwa magumu na wanajaa hasira, jambo dogo wanaingia barabarani (wakiwa wachache tu) CNN, Fox, nk wanaonyesha kuwa "nchi nzima" watu wameingia barabarani na Kuna "maandamano makubwa' kumbe sio na saa nyingine waandamanaji ni mamluki tu...matokeo Polisi na vyombo vya usalama vinaingilia kati ila CNN inaonyesha waandamanaji "wakiuawa na Polisi".... Nadhani mwana jf utaelewa kipi kitafuatia!
Marekan mnaikuza sana yaan kwa mnavyoizungumzia bas km vile mungu wa dunia hii yaan anajua hadi kuchezea akili za watu halaf hao watu hawajui ila mpuuz asiwe weza hata kuwq m/kiti ndo anajua mipango ya MarekaniUkute wewe ndiyo huna akili timamu..Arab spring ilikua kazi ya marekani,ikakwama Iran na syria
Kwamba USA aliwatuma askari wa Iran wampige yule dada hadi afariki? Au USA ndio wanawachochea waandamanaji? Low IQMbinu za Hawa jamaa USA na wenzake kuwadhoofisha wapinzani wao huwa ni zile zile miaka nenda miaka Rudi....
kifo cha yule dada ni haki ?
Mkuu siku ukiacha kuangalia "matokeo" UKAWA unaangalia "chanzo" bila shaka utaelewa kuwa hata hicho kipimo cha uelewa wanachoita IQ sio sawa!Kwamba USA aliwatuma askari wa Iran wampige yule dada hadi afariki? Au USA ndio wanawachochea waandamanaji? Low IQ
Nazani ni wakati wa Kuachana na Huu upuuzi maana Kila kitu ni Marekani Fikiria mamluki gani hao wanatumwa kwenye majimbo mengi hivo"USA 3-1 IRAN" dk ya 70 Iran wanajitahidi kuonyesha video ya mama alikuwa "afya mgogoro" maana alishawahi kudondoka ghafla airport!
Mbinu za Hawa jamaa USA na wenzake kuwadhoofisha wapinzani wao huwa ni zile zile miaka nenda miaka Rudi....
Iran tayari kameza ndoano...unaekewa vikwazo uchumi unavurugika, maisha ya wananchi yanakuwa magumu na wanajaa hasira, jambo dogo wanaingia barabarani (wakiwa wachache tu) CNN, Fox, nk wanaonyesha kuwa "nchi nzima" watu wameingia barabarani na Kuna "maandamano makubwa' kumbe sio na saa nyingine waandamanaji ni mamluki tu...matokeo Polisi na vyombo vya usalama vinaingilia kati ila CNN inaonyesha waandamanaji "wakiuawa na Polisi".... Nadhani mwana jf utaelewa kipi kitafuatia!
Huijui marekani vizuriMarekan mnaikuza sana yaan kwa mnavyoizungumzia bas km vile mungu wa dunia hii yaan anajua hadi kuchezea akili za watu halaf hao watu hawajui ila mpuuz asiwe weza hata kuwq m/kiti ndo anajua mipango ya Marekani
Mkuu sio Kila upuuzi na fujo zinaletwa na wamarekani, ila wamarekani wenyewe wamekiri kufanya hayo sehemu nyingi tu!Nazani ni wakati wa Kuachana na Huu upuuzi maana Kila kitu ni Marekani Fikiria mamluki gani hao wanatumwa kwenye majimbo mengi hivo
Kuna wakati inafika watu wanachoka na Hizi sheriza zisizokuwa na maana