Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine

Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko

Screenshot_2025-06-17-15-16-42-517.jpg
 
Mnachekesha sana makobaz, hapa mpaka mwisho wake mkubali mumeliwa, sio mara ya kwanza Jehovah kupambanishwa, aliwahi kuwekwa dhidi ya Baal na wengine ila akawazidi.
Sasa hapa mnapambanisha Jehovah dhidi ya Allah, mtabaki kilio tu kama walivyokua wanalia waliomjaribu kabla uislamu kubuniwa.
 
Israel anapambana kimkakati...Iran inatapanya silaha ilimradi imrpiga majengo au imedondoka Israel.

Israel inalenga viongozi, akishawamaliza ni sawa na kuvunja uti wa mgongo wa Jeshi la Iran.

Sasa meisho utakuwa mtamu sana.
Akili mtu wangu
 
Jidanganyeni.
Iran imepiga maeneo ya kimkakati vile vile.
Imelipua ofisi nyingi tu za jeshi na kambi ya jeshi.
Iran kurusha makombora mengi ni kwasababu ya kuzubaisha air defense system maana nchi zaidi ya moja zinashiriki kuyadungua hayo makombora.
Unadhani akirusha machache yatafikia lengo ilhali hadi Marekani anahusika kuyadungua?
Pia Iran Ina mfumo mkubwa wa succession ya uongozi HUWEZI ukawalemaza never.
 
Una chanzo rasmi cha habari kilichoripoti au ni wewe mwenyewe unaripoti kutoka makao makuu ya IRGC?😂
Chanzo ni Televisheni ya Taifa ya Iran, ilionyesha LIVE jinsi inavyoshambuliwa na kuharibiwa na makombora ya Israel hadi mtangazaji akakimbia. Utaamini chanzo gani kingine kama huiamini hata TV ya Taifa lako?

Screenshot_2025-06-17-17-53-16-714_org.mozilla.firefox.jpg
 
Toka lini mateka wa Kijeshi akasema ukweli? Yaani unafahamu kabisa kuwa ukweli au uongo haitakusaidia sasa nani atakuamini?
Mchanga sana kwe diplomacy,ina maana huoni hata ukraine na Russia wakibadilishana mateka!?..na wakishakunyaka utasema tu ukweli, ndiyo maana rule 1 ya espionage ni usishikwe
 
Back
Top Bottom