gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Vita mkuu, hata uwe mtaalam namna ipi lazima upoteze tuHayo makopo hata Elon musk hakuyakubali
Iran ana wanajeshi wengi tuVita mkuu, hata uwe mtaalam namna ipi lazima upoteze tu
Ila Uran anapiteza sana viongozi wake wa majeshi
F 35 chali,tena wamepopoa nneSawa tunasubiri hy isidingo
😂😂😂😂😂hii mbegu ya mtume inapenda ubishi sana🤣🤣🤣Iran ana wanajeshi wengi tu
Ukishaona mtu ni kobaz usibishane nae😂😂😂😂😂hii mbegu ya mtume inapenda ubishi sana🤣🤣🤣
Lakini wanaogopa kuteuliwa kuwa viongozi waandamizi wa kamandiIran ana wanajeshi wengi tu
Israel anapambana kimkakati...Iran inatapanya silaha ilimradi imrpiga majengo au imedondoka Israel.Mnachekesha sana makobaz, hapa mpaka mwisho wake mkubali mumeliwa, sio mara ya kwanza Jehovah kupambanishwa, aliwahi kuwekwa dhidi ya Baal na wengine ila akawazidi.
Sasa hapa mnapambanisha Jehovah dhidi ya Allah, mtabaki kilio tu kama walivyokua wanalia waliomjaribu kabla uislamu kubuniwa.
Una chanzo rasmi cha habari kilichoripoti au ni wewe mwenyewe unaripoti kutoka makao makuu ya IRGC?😂Lakini wanaogopa kuteuliwa kuwa viongozi waandamizi wa kamandi
Jidanganyeni.Israel anapambana kimkakati...Iran inatapanya silaha ilimradi imrpiga majengo au imedondoka Israel.
Israel inalenga viongozi, akishawamaliza ni sawa na kuvunja uti wa mgongo wa Jeshi la Iran.
Sasa meisho utakuwa mtamu sana.
Akili mtu wangu
Chanzo ni Televisheni ya Taifa ya Iran, ilionyesha LIVE jinsi inavyoshambuliwa na kuharibiwa na makombora ya Israel hadi mtangazaji akakimbia. Utaamini chanzo gani kingine kama huiamini hata TV ya Taifa lako?Una chanzo rasmi cha habari kilichoripoti au ni wewe mwenyewe unaripoti kutoka makao makuu ya IRGC?😂
Wanaichakata tu?Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine
Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
View attachment 3373297
Mbususu au?Wanaichakata tu?
Mchanga sana kwe diplomacy,ina maana huoni hata ukraine na Russia wakibadilishana mateka!?..na wakishakunyaka utasema tu ukweli, ndiyo maana rule 1 ya espionage ni usishikweToka lini mateka wa Kijeshi akasema ukweli? Yaani unafahamu kabisa kuwa ukweli au uongo haitakusaidia sasa nani atakuamini?