Yule mwamba anajua mambo ya IT au Technology !!!Hayo makopo hata Elon musk hakuyakubali
Jehovah ndio Mungu wa Israel?.Mnachekesha sana makobaz, hapa mpaka mwisho wake mkubali mumeliwa, sio mara ya kwanza Jehovah kupambanishwa, aliwahi kuwekwa dhidi ya Baal na wengine ila akawazidi.
Sasa hapa mnapambanisha Jehovah dhidi ya Allah, mtabaki kilio tu kama walivyokua wanalia waliomjaribu kabla uislamu kubuniwa.
Kuna habari naiona ona leo, Iran wanadai wanapeleka jeshi ground israel,jana israel walipeleka idadi kubwa ya wanajeshi mpaka wa Jordan wakihofia infiltrationJidanganyeni.
Iran imepiga maeneo ya kimkakati vile vile.
Imelipua ofisi nyingi tu za jeshi na kambi ya jeshi.
Iran kurusha makombora mengi ni kwasababu ya kuzubaisha air defense system maana nchi zaidi ya moja zinashiriki kuyadungua hayo makombora.
Unadhani akirusha machache yatafikia lengo ilhali hadi Marekani anahusika kuyadungua?
Pia Iran Ina mfumo mkubwa wa succession ya uongozi HUWEZI ukawalemaza never.
Wataliano wakaona makopo tupuYule mwamba anajua mambo ya IT au Technology !!!
Italian ilishtukaga mapema ilitoaga Order wanunue kama 60 sikosei lkn zilipoanza kuanguka kama maembe !!!
aka Cancel iyo order akitumia Sababu nyengine sasaivi hadi kesho Waitaliono Wanajipongeza!!!
Ngojea nikautafute ukweli.Kuna habari naiona ona leo, Iran wanadai wanapeleka jeshi ground israel,jana israel walipeleka idadi kubwa ya wanajeshi mpaka wa Jordan wakihofia infiltration
WatarushaWairushe live hiyo video tuione
Jehova kashikwa na Wahuni wa Iran Washamvesha nguo za kiume!!!!Mnachekesha sana makobaz, hapa mpaka mwisho wake mkubali mumeliwa, sio mara ya kwanza Jehovah kupambanishwa, aliwahi kuwekwa dhidi ya Baal na wengine ila akawazidi.
Sasa hapa mnapambanisha Jehovah dhidi ya Allah, mtabaki kilio tu kama walivyokua wanalia waliomjaribu kabla uislamu kubuniwa.
Where have Iran hit so far?!"Israel anapambana kimkakati...Iran inatapanya silaha ilimradi imrpiga majengo au imedondoka Israel.
Israel inalenga viongozi, akishawamaliza ni sawa na kuvunja uti wa mgongo wa Jeshi la Iran.
Sasa meisho utakuwa mtamu sana.
Akili mtu wangu
Hii vita Israeli ataumia sana. Ila wenyewe nadhani ndio wanajua ukweli wa mizani kati ya lengo wanalotaka kufikia na gharama ya kulifikia hilo lengo.Vita mkuu, hata uwe mtaalam namna ipi lazima upoteze tu
Ila Uran anapiteza sana viongozi wake wa majeshi
SayngayIran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine
Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
View attachment 3373297
Naona unaimba huu wimbo kama taahiraIsrael anapambana kimkakati...Iran inatapanya silaha ilimradi imrpiga majengo au imedondoka Israel.
Israel inalenga viongozi, akishawamaliza ni sawa na kuvunja uti wa mgongo wa Jeshi la Iran.
Sasa meisho utakuwa mtamu sana.
Akili mtu wangu
Hilo linaimba tu kama pang'ang'a,usijisumbueWhere have Iran hit so far?!"
1. Hadera Power Plant
One of the largest power plants in Israel, located north of Tel Aviv.
2. Kiriya Base
General Headquarters of the Israel Defense Forces (Military Command).
3. Haifa Oil Storage Facility
The main fuel and energy storage center in northern Israel, especially important for aviation and transportation.
4. Haifa Power Plant
Energy infrastructure cutting off electricity in northern Israel.
5. Nevatim Air Base
A military airbase housing F-35s in southern Israel.
6. Uvda air base
Center for command, control and electronic military operations.
7. Tel Nof Air Base
Strategic military air base of Israel.
8. Jalil Base
Military base in northern Israel.
9. Infrastructure of Haifa ports
Oil and marine terminals and bases of Israel.
10. Weizmann Science Center
One of the most important research centers in Israel.
11. Industrial city of Kiryat Gat
A center of technology and industry, including semiconductor factories.
12. Ministry of Defense of Israel
Key center for command and strategic military planning.
13. Israel Nuclear Research Center
Strategic zone in the Tel Aviv area.
14. Rafael Company in Haifa
Supplier of vital defense systems to Israel.
15. Base 8200
Israel Cyber Operations and Eavesdropping Center.
16. Mossad Headquarters
The intelligence service of the Israel.
A.IF 35 chali,tena wamepopoa nne
Hizi akili mnazitoa wapi au ndio AI?Kuna habari naiona ona leo, Iran wanadai wanapeleka jeshi ground israel,jana israel walipeleka idadi kubwa ya wanajeshi mpaka wa Jordan wakihofia infiltration
..Hizi akili mnazitoa wapi au ndio AI?
Kama ni wanawake tuu wameweza kuua vigogo wote hao Je wanaume wakiingia si Tehran nzima inageuka majivu?Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine
Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
View attachment 3373297
Wanaume wanaovuja maji kwenye tundu la haja kubwa!?Kama ni wanawake tuu wameweza kuua vigogo wote hao Je wanaume wakiingia si Tehran nzima inageuka majivu?