Iran kurusha video za rubani wa Israel waliyemdungua

Kaokote ndevu za wenzako kwenye vifusi huko wanaume wamewasambaratisha ni vichaka vya ndevu tuu vimabakia . Yule hypothetical wenu Allah hausaidii lolote
Jehovah ndiyo yale mahandaki wanayokimbilia wapwa wa Mungu wako!?
 
Jehovah ndio Mungu wa Israel?.

Samahan mkuu naomba ufafanuzi kidogo, maana mimi ni mgeni mitaa hii.

Jehovah amekua akiabudiwa kabla huyo muarabu Mohammad hajaja na wake Allah, na hata kabla ya Allah walikuja wengine wanaitwa akina Baal ila wote walishindwa.
 
Jehovah amekua akiabudiwa kabla huyo muarabu Mohammad hajaja na wake Allah, na hata kabla ya Allah walikuja wengine wanaitwa akina Baal ila wote walishindwa.
Sawa mkuu, Je ndio Mungu wanaemuabudu Waisrael?.
 
Baal ndiyo huyo Allah kwa kiarabu.
 
Mchanga sana kwe diplomacy,ina maana huoni hata ukraine na Russia wakibadilishana mateka!?..na wakishakunyaka utasema tu ukweli, ndiyo maana rule 1 ya espionage ni usishikwe
Wanajua akinaswa na kobaz lazima achijwe. Ukweli au uongo hausaidii.
 
Mmesha pandisha izo video ama ngonjera tu kama kawaida yenu!?
 
Kwahiyo Hitler ndio aliweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…