Iran kwa sasa wana uwezo wa kutengeneza mabomu 10 ya Nyuklia kwa wakati mmoja

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Iran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6.

Iwapo kutatokea shambulio, kiasi hiki kingetosha kutengeneza mabomu ya nyuklia 10 kwa haraka.
=====================

Iran has continued to enrich uranium upto 60% and its stockpile now stands at 408.6 kilograms

In the event of an attack, this would be enough to quickly produce 10 nuclear bombs

BREAKING:

[emoji1130] Iran increases uranium enrichment by 50% despite talks with US

Iran has vastly accelerated its 60% uranium production, from 30kg per month to 45kg per month — a 50% increase, according to a confidential report today from the International Atomic Energy Agency (IAEA)

Iran has also secretly increased its stockpile of uranium enriched to 60% or more to over 900lbs.

With 60% enrichment Iran is only a step away from weapons-grade uranium which could be used for a nuclear weapon.

With the amount of enriched uranium it possesses, it will be able to produce 10 nuclear bombs.

20250531_175454.jpeg
 
View attachment 3352097
Huu ni uongo wa kiwango cha Lami mtasubiri sana tu!!
 
Mungu wabaliki watu wa Iran na nchi yao. Walinde na hasidi na manafiki makafiri.
Mungu wabaliki ndiyo nini? Na kama una maana ya Mungu awabariki Mungu hawezi kubariki wanachochea watu wengine kuua!!
 
Iran safi sana afu tukatest pale chumbani kwa Sarah.

Wakizidi tunamfata mfadhili wa Israel Baba wa materrorism USA.
 
Mungu wabaliki ndiyo nini? Na kama una maana ya Mungu awabariki Mungu hawezi kubariki wanachochea watu wengine kuua!!
Umeanza uchokozi mimi nimepiga dua yangu hapo, ubaya uko wapi? Waajemi wabarikiwe tuungane kuwaombea maana mzayuni akili zake anazijua mwenyewe tunaweza amka kukuta kapiga nyuklia Gaza nzima
 
Elewa maana ya "it will be capable" means hiyo ni future yaani hadi wafikie enrichment ya 60%
 
WAIRAN watakuwa Tayali wana Nuclear ndio mana Marekani awataki kuishambulia !!!!!

washajua lkn msingi wa Mazungumzo nikujaribu kukidhibiti kile tayali kipo wasipofanya Mazungumzo manayake awawezi kuyafikia maeneo wanayoyatilia shaka !!!!

i kumbukwe Iran inayo nguvu za kushambulia kwa Makombora yasio onekana adi yafike yaendako ndio utayoona!!! !!

So ni Hatari!! kubwa kwao Mabeberu Majambazi
 
Nani Alikudanganya hivyo?
 
Wakifikisha 90% njooni mniambie!!
Leta ukweli sasa Iran Wana % ngapi za urutubishaji? Mimi nimekubali hizo taarifa si kweli sasa wewe leta ambazo ni za kweli Iran Wana % ngapi? Kwa ushahidi tafadhali maana IAEA hana data za kweli kulingana na wewe maoni haya, tupe zako
 
Teknolojia ya nuclear walipewa na USA siku nyingi tu enzi za Shah Mohamed Reza.
 
Iran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6.

Iwapo kutatokea shambulio, kiasi hiki kingetosha kutengeneza mabomu ya nyuklia 10 kwa haraka.
=====================

Iran has continued to enrich uranium upto 60% and its stockpile now stands at 408.6 kilograms

In the event of an attack, this would be enough to quickly produce 10 nuclear bombs

BREAKING:

[emoji1130] Iran increases uranium enrichment by 50% despite talks with US

Iran has vastly accelerated its 60% uranium production, from 30kg per month to 45kg per month — a 50% increase, according to a confidential report today from the International Atomic Energy Agency (IAEA)

Iran has also secretly increased its stockpile of uranium enriched to 60% or more to over 900lbs.

With 60% enrichment Iran is only a step away from weapons-grade uranium which could be used for a nuclear weapon.

With the amount of enriched uranium it possesses, it will be able to produce 10 nuclear bombs.

View attachment 3352097
mungu linda hili taifa kubwa
 
Back
Top Bottom