We kweli hujui kusoma.Elewa maana ya "it will be capable" means hiyo ni future yaani hadi wafikie enrichment ya 60%
We unajadiliana na hilo fala!?Leta ukweli sasa Iran Wana % ngapi za urutubishaji? Mimi nimekubali hizo taarifa si kweli sasa wewe leta ambazo ni za kweli Iran Wana % ngapi? Kwa ushahidi tafadhali maana IAEA hana data za kweli kulingana na wewe maoni haya, tupe zako
Iran wenyewe ni makafir. Au shia ni Waislam siku hizi?Mungu wabariki watu wa Iran na nchi yao. Walinde na hasidi na manafiki makafiri.
Jirani mwema sio ndugu mbaya.Iran wenyewe ni makafir. Au shia ni Waislam siku hizi?