Huu ni uongo wa kiwango cha Lami mtasubiri sana tu!!Iran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6.
Iwapo kutatokea shambulio, kiasi hiki kingetosha kutengeneza mabomu ya nyuklia 10 kwa haraka.
=====================
Iran has continued to enrich uranium upto 60% and its stockpile now stands at 408.6 kilograms
In the event of an attack, this would be enough to quickly produce 10 nuclear bombs
BREAKING:
[emoji1130] Iran increases uranium enrichment by 50% despite talks with US
Iran has vastly accelerated its 60% uranium production, from 30kg per month to 45kg per month — a 50% increase, according to a confidential report today from the International Atomic Energy Agency (IAEA)
Iran has also secretly increased its stockpile of uranium enriched to 60% or more to over 900lbs.
With 60% enrichment Iran is only a step away from weapons-grade uranium which could be used for a nuclear weapon.
With the amount of enriched uranium it possesses, it will be able to produce 10 nuclear bombs.
View attachment 3352097
Mungu wabaliki ndiyo nini? Na kama una maana ya Mungu awabariki Mungu hawezi kubariki wanachochea watu wengine kuua!!Mungu wabaliki watu wa Iran na nchi yao. Walinde na hasidi na manafiki makafiri.
Umeanza uchokozi mimi nimepiga dua yangu hapo, ubaya uko wapi? Waajemi wabarikiwe tuungane kuwaombea maana mzayuni akili zake anazijua mwenyewe tunaweza amka kukuta kapiga nyuklia Gaza nzimaMungu wabaliki ndiyo nini? Na kama una maana ya Mungu awabariki Mungu hawezi kubariki wanachochea watu wengine kuua!!
Leta ukweli sasa ni upi?Huu ni uongo wa kiwango cha Lami mtasubiri sana tu!!
Wahuni washarutubisha yai,kazi kwenu kutema mateHuu ni uongo wa kiwango cha Lami mtasubiri sana tu!!
Nani Alikudanganya hivyo?WAIRAN watakuwa Tayali wana Nuclear ndio mana Marekani awataki kuishambulia !!!!!
washajua lkn msingi wa Mazungumzo nikujaribu kukidhibiti kile tayali kipo wasipofanya Mazungumzo manayake awawezi kuyafikia maeneo wanayoyatilia shaka !!!!
i kumbukwe Iran inayo nguvu za kushambulia kwa Makombora yasio onekana adi yafike yaendako ndio utayoona!!! !!
So ni Hatari!! kubwa kwao Mabeberu Majambazi
Wakifikisha 90% njooni mniambie!!Leta ukweli sasa ni upi?
Umekimbia Centrifugal umekimbilia huku.???? 🤣🤣🤣🤣🤣Mungu wabaliki ndiyo nini? Na kama una maana ya Mungu awabariki Mungu hawezi kubariki wanachochea watu wengine kuua!!
Leta ukweli sasa Iran Wana % ngapi za urutubishaji? Mimi nimekubali hizo taarifa si kweli sasa wewe leta ambazo ni za kweli Iran Wana % ngapi? Kwa ushahidi tafadhali maana IAEA hana data za kweli kulingana na wewe maoni haya, tupe zakoWakifikisha 90% njooni mniambie!!
mungu linda hili taifa kubwaIran imeendelea kurutubisha uranium hadi kiwango cha asilimia 60, na kwa sasa ina hifadhi ya uranium yenye uzito wa kilo 408.6.