I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 17,999 Reaction score 21,560 Jun 1, 2025 #21 Hizo taarifa ni feki, Marekani, Israel, UN wote wasijue eti wewe kapuku unaejisaidia porini hapo Mvomero ndio ujue.π²π²π²π²
Hizo taarifa ni feki, Marekani, Israel, UN wote wasijue eti wewe kapuku unaejisaidia porini hapo Mvomero ndio ujue.π²π²π²π²
K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 19,212 Reaction score 31,375 Jun 2, 2025 #22 Missouri said: Elewa maana ya "it will be capable" means hiyo ni future yaani hadi wafikie enrichment ya 60% Click to expand... We kweli hujui kusoma. Imeshafika asilimia 60. Inamaana it will be capable kugeuzwa kuwa nuclear. Imeshafikia kiwango Cha kugeuzwa silaha.
Missouri said: Elewa maana ya "it will be capable" means hiyo ni future yaani hadi wafikie enrichment ya 60% Click to expand... We kweli hujui kusoma. Imeshafika asilimia 60. Inamaana it will be capable kugeuzwa kuwa nuclear. Imeshafikia kiwango Cha kugeuzwa silaha.
K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 19,212 Reaction score 31,375 Jun 2, 2025 #23 gTurn said: Leta ukweli sasa Iran Wana % ngapi za urutubishaji? Mimi nimekubali hizo taarifa si kweli sasa wewe leta ambazo ni za kweli Iran Wana % ngapi? Kwa ushahidi tafadhali maana IAEA hana data za kweli kulingana na wewe maoni haya, tupe zako Click to expand... We unajadiliana na hilo fala!? Anapingana hadi na ushahidi wa vyombo vya kimataifa.
gTurn said: Leta ukweli sasa Iran Wana % ngapi za urutubishaji? Mimi nimekubali hizo taarifa si kweli sasa wewe leta ambazo ni za kweli Iran Wana % ngapi? Kwa ushahidi tafadhali maana IAEA hana data za kweli kulingana na wewe maoni haya, tupe zako Click to expand... We unajadiliana na hilo fala!? Anapingana hadi na ushahidi wa vyombo vya kimataifa.
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,912 Reaction score 46,240 Jun 2, 2025 #24 gTurn said: Mungu wabariki watu wa Iran na nchi yao. Walinde na hasidi na manafiki makafiri. Click to expand... Iran wenyewe ni makafir. Au shia ni Waislam siku hizi?
gTurn said: Mungu wabariki watu wa Iran na nchi yao. Walinde na hasidi na manafiki makafiri. Click to expand... Iran wenyewe ni makafir. Au shia ni Waislam siku hizi?
K Kosugi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 19,212 Reaction score 31,375 Jun 2, 2025 #25 Kinyungu said: Iran wenyewe ni makafir. Au shia ni Waislam siku hizi? Click to expand... Jirani mwema sio ndugu mbaya.
Kinyungu said: Iran wenyewe ni makafir. Au shia ni Waislam siku hizi? Click to expand... Jirani mwema sio ndugu mbaya.