uzuri wa hao watu israel na marekani wakileta shobo tu wanaungana na kuwashughulikia kwanza....thats why hao sio venezuela wala libyaMigogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.
Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo haijasaidia sana kupunguza shinikizo linalomkabili Rais Masoud Pezeshkian.
Wakati vita vikiendelea na juhudi za kidiplomasia za kutafuta suluhisho zikipata mafanikio madogo, mapambano ya ndani ya kuwania madaraka yanazidi kushika kasi. Serikali ya Rais Pezeshkian ndiyo inayokabiliwa na mvutano unaozidi kuongezeka.
Iran: Political infighting deepens as economic woes mount during war
Hardliners are stepping up pressure on Iran's government and calling for Foreign Minister Abbas Araghchi's removal. The oil minister resigned, but that's doing little to ease the pressure on President Masoud Pezeshkian.www.dw.com
Kwani unafikiri huo mgogoro wao unatokana na nini?uzuri wa hao watu israel na marekani wakileta shobo tu wanaungana na kuwashughulikia kwanza....thats why hao sio venezuela wala libya
uzuri wa hao watu israel na marekani wakileta shobo tu wanaungana na kuwashughulikia kwanza....thats why hao sio venezuela wala libya
sehemu isiyo na umoja masaa 12 tu yanatosha kuiangamiza hivi tunavyoongea miaka nenda rudi marekani na shosti yake washafanya kila aina ya mbinu kuwaangusha hao lkn wapi,sheria za nchi husika lazma zifatwe ktk nyakati zozote za vita na furaha,hata wasiokubaliana na sera za trump na israeli wanaishi kwa tabu huko walipo sio iran pekee yanatokea hayo mamboNani kakudanganya! Wairan hawajawahi kuwa wamoja. Iran ndiyo nchi inayoongoza kwa idadi ya wananchi wake mukimbilia mataifa mengine kutokana na kutokubaliana na watawala. Pia Iran ndiyo nchi ambayo watawala wake wanaoongoza kuwanyonga raia wao. Na wamekuwa wakiendelea kufanya hivyo hata wakati bita ikiendelea.
thread inasema mgogoro unatokana na nini!Kwani unafikiri huo mgogoro wao unatokana na nini?
Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.
Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo haijasaidia sana kupunguza shinikizo linalomkabili Rais Masoud Pezeshkian.
Wakati vita vikiendelea na juhudi za kidiplomasia za kutafuta suluhisho zikipata mafanikio madogo, mapambano ya ndani ya kuwania madaraka yanazidi kushika kasi. Serikali ya Rais Pezeshkian ndiyo inayokabiliwa na mvutano unaozidi kuongezeka.
Iran: Political infighting deepens as economic woes mount during war
Hardliners are stepping up pressure on Iran's government and calling for Foreign Minister Abbas Araghchi's removal. The oil minister resigned, but that's doing little to ease the pressure on President Masoud Pezeshkian.www.dw.com
Si kweli.Watu walioshinda vita/mpambano na mabeberu wanateterekaje tena?Migogoro ya ndani ya kisiasa nchini Iran inazidi kushamiri huku matatizo ya kiuchumi yakiongezeka.
Wafuasi wa msimamo mkali wanaongeza shinikizo dhidi ya serikali ya Iran na kutaka Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araghchi, aondolewe madarakani. Waziri wa Mafuta amejiuzulu, lakini hatua hiyo haijasaidia sana kupunguza shinikizo linalomkabili Rais Masoud Pezeshkian.
Wakati vita vikiendelea na juhudi za kidiplomasia za kutafuta suluhisho zikipata mafanikio madogo, mapambano ya ndani ya kuwania madaraka yanazidi kushika kasi. Serikali ya Rais Pezeshkian ndiyo inayokabiliwa na mvutano unaozidi kuongezeka.
Iran: Political infighting deepens as economic woes mount during war
Hardliners are stepping up pressure on Iran's government and calling for Foreign Minister Abbas Araghchi's removal. The oil minister resigned, but that's doing little to ease the pressure on President Masoud Pezeshkian.www.dw.com
Subiri utaona mwakani Iran hapatakalika.Si kweli.Watu walioshinda vita/mpambano na mabeberu wanateterekaje tena?
Mwakani tena😁😁😁Subiri utaona mwakani Iran hapatakalika.