Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA